baada ya mjadala wa majina ya kizaramo kuanza kuna wadau wameomba tuwakumbushe lile bango la kiota marufu cha sanaa kule jijini kinshasa. nawasilisha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Sina mbavu!

    ReplyDelete
  2. Nawewe Michuzi kwanini ukiite Kiota?

    ReplyDelete
  3. michuzi hujatumia busara, this is very inappropriate sisi ni waafrika si jadi yetu kutaja majina nyeti hivi! shame on you!

    ReplyDelete
  4. ha ha haaa mavusti oyee!!

    ReplyDelete
  5. hayo yatakuwa majina ya kichagga

    ReplyDelete
  6. ...I agree with all comments against this. We should have some respect and grow up a bit. Michuzi, of all people, tossing this up is a shame...

    ReplyDelete
  7. HIYO NINI, KIJAPANI NI ZAIDI YA HIYO HATA HIVYO UHUSIANO KATI YA MANENO YAO AMBAYO NI SAWASAWA NA KISWAHILI CHETU HAUELEZEKI. KWA WATAKAO KWENDA JAPANI WAWE MAKINI KUCHAGUA MIJI VINGINEVYO MTAPATA SHIDA KUWASILIANA NYUMBANI.

    ReplyDelete
  8. Michuzi nakuheshimu sana ... Alahhh !!!! We hujui kuwa utakuwa baba mwe wangu muda si mrefu

    ReplyDelete
  9. yani nimeshtukaaa

    hahahahaaaaa

    nimekufa kwa kucheka leo duh!!

    michuzi weee nooooumaaaa!!!

    natamani nifike Japan nijue uhusiano wa kiswaili na kijapan yale majina maana ni balaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...