MKE WA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MAMA SHADYA KARUME AKIWEKA UJUMBE WAKE BAADA YA KUMALIZA KUANGALIA MAONESHO YA VITABU NA VIFAA VYA KUFUNDISHIA WATOTO WA SKULI ZA MAANDALIZI
WAKE WA MARAIS WA KWANZA MKE WA RAIS WA SENEGAL VIVIEN WADE MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA SHADYA KARUME NA MKE WA RAIS WA CAP-VERT ADELCIA PIRES WAKISIKILIZA NYIMBO WAKIIMBA WATOTO WA SKULI ZA MAANDALIZI WAKATI WAKITEMBELEA MAONESHO.


MAMA SHDYA AKISALIMIANA NA MMOJA WA WADAU WA ELIMU YA AWALI



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. first lady wa zanji she is so beauty! napenda anavyovaa, very classic for a such mzee!

    ReplyDelete
  2. Ohoo she is so beauty tamaa tu hizo. Kwanza nani kakuambia ni mzee.

    ReplyDelete
  3. acheni ujinga kusifia wake za watu, ila mimi napenda kuona kuwa na yeye anajichanganya kimataifa, imekuwa kila siku ni mama Kikwete, mama Mkapa tungependa kusikia na wake wa viongozi wengine pia,mama Nahodha uko wapi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...