anko akila pozi na msani anjelique kijo na msanii chipukizi wa sudan emmanuel katika mnuso wa ufunguzi wa kongamano la Mo Ibrahim usiku huu katika ukumbi mwanana wa Mlimani City Conference Centre jijini dar
anko akiwa na mtangazaji mwandamizi wa
BBC Bi. Zeynab BAdawi kwenye mnuso huo
anko akiwa na Johnson Lukaza na Zamunda kwenye mnuso wa Mo Ibrahim

anko akiwa na wadau wa Zain kwenye mnuso huo




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Mo Ibrahimu ndio nani. kama unawahabarisha watu walioko Tanzania tu. Kila unayemujua ufikiri kila mtu anamfahamu.

    ReplyDelete
  2. Mweeee Michuzi kwe minuso !!!!
    Nakuona kwenye redi kapeti aaah lol
    umetoka mchicha kinomi, hata viatu vimepigwa kiwi this time.


    Mdau
    Canada

    ReplyDelete
  3. Weee bwana we Michuzi,
    nakuona umeulamba, mkanda nje, ukachomekea kwa rula
    haya ndugu yangu, have fun, life is too short.


    Mdau
    Canada

    ReplyDelete
  4. Mzee konoz si mchezo! nimei-mind hiyo suti!

    Mo Ibrahim ni philanthrophy anayesaidia Marais wako wa Afrika wapunguze ufisadi kwa kuwalipa wale walioiba kidogo walipokuwa madarakani. Ni hiyo tu!

    ReplyDelete
  5. Naona uncle uko na fisadi Papa anapeta tu tanzania rahaaaaaaaaaaaaa utamuuuuuuuu

    ReplyDelete
  6. Jamani bongo kuzuri,nje ya nchi stress tupu na bills zisizokwisha.

    ReplyDelete
  7. Halafu we michuzi kumbe suti nzuri na viatu unavyo. Kwanini unavaaga lile li fulana lako baya?lol

    ReplyDelete
  8. Mo Ibrahim ndio tajiri mkuu kutoka bara la Africa, anatokea Sudan .

    ReplyDelete
  9. EPPAAA Mithupu suti hiyo angalia mikono imekuwa mirefu sana ungepunguza kwa fundi

    ReplyDelete
  10. ...that is Zeynab Badawi...and how she has changed from her glorious early days as a late night news young presenter at ITV!

    ReplyDelete
  11. MICHUZI NLIJUA KUWA ILE KOMENT YANGU YA JANA KUHUSU HUYO MWIZI WA KODI ZETU JOHNSON LUKAZA (EPA) USINGEIWEKA. HATUWEZI KUISAIDIA JAMII KWA KUOGOPA KUWEKA UKWELI HADHARANI... LUKAZA KWELI KATUIBIA. IBANIE N HII. ILA NAJUA UTAISOMA NA UJEMBE UMEFIKA

    ReplyDelete
  12. Balozi nanai nawe kwa kuzamia ,ujambo? hapo ulialikwaje?
    nieleze.
    mdau lusungo kyela

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...