Home
Unlabelled
mnuso wa mo ibrahim usiku huu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mo Ibrahimu ndio nani. kama unawahabarisha watu walioko Tanzania tu. Kila unayemujua ufikiri kila mtu anamfahamu.
ReplyDeleteMweeee Michuzi kwe minuso !!!!
ReplyDeleteNakuona kwenye redi kapeti aaah lol
umetoka mchicha kinomi, hata viatu vimepigwa kiwi this time.
Mdau
Canada
Weee bwana we Michuzi,
ReplyDeletenakuona umeulamba, mkanda nje, ukachomekea kwa rula
haya ndugu yangu, have fun, life is too short.
Mdau
Canada
Mzee konoz si mchezo! nimei-mind hiyo suti!
ReplyDeleteMo Ibrahim ni philanthrophy anayesaidia Marais wako wa Afrika wapunguze ufisadi kwa kuwalipa wale walioiba kidogo walipokuwa madarakani. Ni hiyo tu!
Naona uncle uko na fisadi Papa anapeta tu tanzania rahaaaaaaaaaaaaa utamuuuuuuuu
ReplyDeleteJamani bongo kuzuri,nje ya nchi stress tupu na bills zisizokwisha.
ReplyDeleteHalafu we michuzi kumbe suti nzuri na viatu unavyo. Kwanini unavaaga lile li fulana lako baya?lol
ReplyDeleteMo Ibrahim ndio tajiri mkuu kutoka bara la Africa, anatokea Sudan .
ReplyDeleteEPPAAA Mithupu suti hiyo angalia mikono imekuwa mirefu sana ungepunguza kwa fundi
ReplyDelete...that is Zeynab Badawi...and how she has changed from her glorious early days as a late night news young presenter at ITV!
ReplyDeleteMICHUZI NLIJUA KUWA ILE KOMENT YANGU YA JANA KUHUSU HUYO MWIZI WA KODI ZETU JOHNSON LUKAZA (EPA) USINGEIWEKA. HATUWEZI KUISAIDIA JAMII KWA KUOGOPA KUWEKA UKWELI HADHARANI... LUKAZA KWELI KATUIBIA. IBANIE N HII. ILA NAJUA UTAISOMA NA UJEMBE UMEFIKA
ReplyDeleteBalozi nanai nawe kwa kuzamia ,ujambo? hapo ulialikwaje?
ReplyDeletenieleze.
mdau lusungo kyela