DJ akifanya vitu vyake Pub Alberto, moja ya viota vya maraha mjini moshi mjini usiku wa kuamkia leo.
wadau wakijimwayamwaya kwenye kiota cha maraha cha Pub Alberto moshi mjini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. Aisei namuona mangi pale analisakata Rumba ebooo

    ReplyDelete
  2. mbona kata za mbege hatuzioni jamani! maanake party za wachaga haziendi bila kambege am?

    ReplyDelete
  3. aaah Jamani Moshi kuna viota PubAlberto, sio kiwanja pekee kaka Michuzi aliza wa Ms watakupeleka, Moshi mjini

    ReplyDelete
  4. jamani huyu dj hana mvuto kabsaa full loko sio lazima upige bling bling jamani kuwa ki dj basi lol utazani muuza karanga

    ReplyDelete
  5. mh dj kama mpiga debe lol kwi kwi kwiiii

    ReplyDelete
  6. kama DJ ndiyo huyo mie mziki basi, lakini mchaga na disco wapi kwa wapi nyimbo zao nyingi za kishamba halafu hawabadiliki hata wakisafiri!

    ReplyDelete
  7. Nikweli kabisa, wachagga hawabadiliki. Hata wakienda Ulaya wakirudi.... utamjua tu. Kinacho badilika ni manyumba na magari wanayo endesha.

    ReplyDelete
  8. tehee teheee .... leo ngoja niskize waosha vinywa ... :))

    ReplyDelete
  9. Wachaga ndio wenye maendeleo ktk nchi yetu ya tanzania wapewe heshima yao jamani

    ReplyDelete
  10. jamani wabadi like kivipi? kwa mavazi?
    nyie mnafikiri mkojuu mkivaa nguo na mna lala gesti? heeheee lol.... mnachekesha masikini amjijui

    ReplyDelete
  11. Is the DJ enjoying his job kweli?

    Mbona mnyonge katika mazingira ya maraha?

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  12. Aisee hawa jamaa chalii nmna gani ati? Huku moshi tuko juu kweli, na huyu kwa taarifa yenu ni DJ matata sana (aka Zuberi) acheki na kima yeye anatwanga ngoma mpaka mtasema DJ zuberi 'dont kill us with music'. Machalii wengi wa old moshi na shanti town wanamfagili... wanamfagilia kweli, we acha tu. Big up DJ sio kama wale wa kule bongo wanaopata poda au makeup halafu makelele mengi ati... chaa!!
    Hapo hujamuona akizipiga zile reggae za lucky dube

    ReplyDelete
  13. jamani pub Alberto ndo imechoka hivi siku hizi hadi kuweka DJ kama muuza mitumba?? kha! bora muifunge tu hiyo pub vile haina mvuto kama zamani..muachieni LaLiGa awape watu roho inataka..

    ReplyDelete
  14. duh !!dj choka mbaya !!!hata walioko disco na wenyewe wamechoka sana hivi huko moshi hakuna maduka ya nguo nzuri!!!au niubaili wa kichaga na kipare!!1

    ReplyDelete
  15. Anaitwa DJ Mass Awe Yaani Massawe mwana wa migombani

    Anashusha vituz kutoka kule Gambia na Angola na Ghana.

    Na kwa hm anavitu kutoka ile bendi ya Kibororoni-Mongi Jazz

    We acha weeeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  16. Tue Dec 01, 02:10:00 AM annon wewe
    umenivunja mbavu zangu hahahaaaaa,nilikua nimenuna leo vibaya!!!

    "dont kill me with muziki zuberi"

    hhhahaaaaaaaa

    ReplyDelete
  17. Ati kwanini wachaga wengi hata kama ana hela lakini hawajui kupiga pamba vizuri,hasa wale waliozaliwa na kuishi uchagani,karibu wote wana-Urombo fulani,jamani nisaidieni kama kautafiti kangu kana ukweli

    ReplyDelete
  18. halafu disco zima kuna mademu watatu tu! kaaaaazi kwelikweli...

    ReplyDelete
  19. Wachaga na wamasai ndio wanao ongoza nchi nakubalna uyoapo juu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...