Mkuu wa Chuo Kikuu cha Arusha, Askofu Joshua Kajula akiwatunuku shahada wahitimu katika mahafali yaliyofanyika Chuoni hapo wilayani Arumeru wikiendi hii
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Arusha, Askofu Joshua Kajula akiwatunuku shahada wahitimu katika mahafali yaliyofanyika Chuoni hapo wilayani Arumeru

Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiteta na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Arusha, Askofu Joshua Kajula katika mahafali ya chuo hicho yaliyofanyika kwenye viwanja vya Chuo, wilayani Arumeru



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Kaka ni lugha ngumu au, chuo kikuu arusha university mmh.... hii ni kali

    ReplyDelete
  2. Vyuo vikuu ni vingi lakini wanafundisha habari inayoeleweka? Isijekuwa kama ile habari ya "International school" za mabanda ya uwani.

    ReplyDelete
  3. Hivi imekuwaje? Inaonekana Waziri Mkuu hawezi kutunuku vyeti na ndio maana hiyo kazi hiyo ikafanywa na Mkuu wa Chuo, is it??

    ReplyDelete
  4. hiyo kofia imemfanya waziri mkuu aonekane bonge la handsome!

    ReplyDelete
  5. yani wamepanga mstari kugongwa na ilo likofia kichwani????

    kaazi kweli-kweli

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...