Home
Unlabelled
nguzo hoi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Du Mithupu umetia chumvi sana ,Yaelekea hiyo vokesheni yako imekuwacha mbali sana [dar inabadilika kila siku ]...hizo taa zinawekwa mpya kaka
ReplyDeleteKAKA SIO ZIMEPIGWA DAFLAO, NI KWAMBA ZIPO KWENYE MCHAKATO WA KUBADILISHWA ZOTE. ANGALIA KWA MAKINI UTAONA ZOTE ZIKO CHINI
ReplyDeleteANDIKENI VITU AMBAVYO MNAUHAKIKA NAVYO SIO UNAPITA KASI NA GARI LAKO KISHA UNAONA NGUZO IKO CHINI UNAANDIKA IMEPIGWA DAFLAO! HIYO NI MOJA YA NGUZO CHAKAVU ZILIZOCHIMBWA ILI ZIONDOLEWE NA SI MOJA KAMA UNAVYODHANI. ILA TU CHA MSINGI NI KUWA WALE WALIOZICHIMBA ILITAKIWA WAZIONDOE NA SI KUZIACHA ZIMEZAGAA BARABARA YOTE. PIA NGUZO HIZO HAJIJAWEKWA MIAKA MINGI ILIYOPITA ILA NI ZA KIFISADI KWANI ZIMETENGENEZWA KWA KUKUNJA MABATI HIVYO ZIMEPATA KUTU HARAKA SANA HATUJUI CHA JUU KILIKUWA KIASI GANI? POLISI HAWAHUSIKI KWA HILI BALI JIJI NDIO WAHUSIKA WAKUU KUZIONDOA PAMOJA NA UCHAFU ULIOIBULIWA KWENYE MITARO NA KUTEREKEZWA JUU YA BARABARA.
ReplyDeletejeshi liwepo hapo kwani kuna mloo au kifuta jasho....navyojua mimi watatinga kariakoo kwa wamachinga
ReplyDeleteBONGO KIBOKO TAA ZINA MWAKA MMOJA,ZINABADIRISHWA MPAKA NGUZO?
ReplyDelete