
SWALI: Ni tukio gani la kihistoria unalokumbuka na watanzania watalikumbuka pia?
RICHA: Ni pale niliposhinda taji la Miss Tanzania na kuibua mtazamo tofauti kwa wengi kutokana na rangi yangu. Pia ilisaidia kufungua macho ya watanzania wengi kwa sababu hawakudhani kama mimi nitashinda lakini ikawezekana. Tukio hili llitabaki kuwa la kihistoria kwa sababu haijawahi kutokea na sidhani kama itatokea tena.
SWALI: Ni wakati gani mgumu unaukumbuka katika maisha yako?
RICHA: Siku kumi kabla ya mashindano ya Miss Tanzania aliyekuwa rafiki yangu wa kiume alipata ajli ya gari na kufariki. Sitaweza kulisahau tukio hilo kwani lilinifanya nitake kujitoa kwenye mashindano,lakini familia yangu ilinipa ilinipa moyo na nikaendelea na mashindano.
Kwa Mahojiano kamili
"Tukio hili llitabaki kuwa la kihistoria kwa sababu haijawahi kutokea na sidhani kama itatokea tena" What makes the young lady to think that haitatokea tena?? Why that??
ReplyDelete-Na isitoshe niliboreka alipohojiwa na Bongo Celebrity kwa Kimombo!Si Mtanzania,kwanini basi alihojiwa kwa Kiingereza?
ReplyDeleteAnywayz,nilikuwa ninafuatilia baada ya tittle kama atajipaisha au la....so far anaonekana,she's well reserved,hajachafuliwa jina na magazeti ya udaku which is a good thing kwani nimechoshwa na maMiss kuonekana hawana la zaidi kuoffer ktk jamii bali kuuza sura tu!
That's all i that i have to say,so far,so good....
Richa anaposema haitatikea tena!anajua anachokiongea,lakini inaweza kutokea tena kwa ufisadi katika biashara ya umiss bado unaendelea,inaweza siku moja akachaguliwa mchina asiongea kiswahili kuwa miss Tanzania,kwa kigezo kuwa baba yake wa kufikia ni mtanzania na mama yake mchina kaolewa na mtanzania na anaishi tanzania
ReplyDeleteTz you are the best...an African country with multicultural flavour...keep the good job wananchi's of Tanzania...and let's be the showcase the rest of the world
ReplyDeleteujumbe umefika. mheshimiwa nani anakufanyia hiyo blogu?
ReplyDeleteI reserve my comments... :(
ReplyDelete