SWALI: Ni tukio gani la kihistoria unalokumbuka na watanzania watalikumbuka pia?

RICHA: Ni pale niliposhinda taji la Miss Tanzania na kuibua mtazamo tofauti kwa wengi kutokana na rangi yangu. Pia ilisaidia kufungua macho ya watanzania wengi kwa sababu hawakudhani kama mimi nitashinda lakini ikawezekana. Tukio hili llitabaki kuwa la kihistoria kwa sababu haijawahi kutokea na sidhani kama itatokea tena.

SWALI: Ni wakati gani mgumu unaukumbuka katika maisha yako?

RICHA: Siku kumi kabla ya mashindano ya Miss Tanzania aliyekuwa rafiki yangu wa kiume alipata ajli ya gari na kufariki. Sitaweza kulisahau tukio hilo kwani lilinifanya nitake kujitoa kwenye mashindano,lakini familia yangu ilinipa ilinipa moyo na nikaendelea na mashindano.
Kwa Mahojiano kamili

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. "Tukio hili llitabaki kuwa la kihistoria kwa sababu haijawahi kutokea na sidhani kama itatokea tena" What makes the young lady to think that haitatokea tena?? Why that??

    ReplyDelete
  2. -Na isitoshe niliboreka alipohojiwa na Bongo Celebrity kwa Kimombo!Si Mtanzania,kwanini basi alihojiwa kwa Kiingereza?
    Anywayz,nilikuwa ninafuatilia baada ya tittle kama atajipaisha au la....so far anaonekana,she's well reserved,hajachafuliwa jina na magazeti ya udaku which is a good thing kwani nimechoshwa na maMiss kuonekana hawana la zaidi kuoffer ktk jamii bali kuuza sura tu!
    That's all i that i have to say,so far,so good....

    ReplyDelete
  3. Richa anaposema haitatikea tena!anajua anachokiongea,lakini inaweza kutokea tena kwa ufisadi katika biashara ya umiss bado unaendelea,inaweza siku moja akachaguliwa mchina asiongea kiswahili kuwa miss Tanzania,kwa kigezo kuwa baba yake wa kufikia ni mtanzania na mama yake mchina kaolewa na mtanzania na anaishi tanzania

    ReplyDelete
  4. Tz you are the best...an African country with multicultural flavour...keep the good job wananchi's of Tanzania...and let's be the showcase the rest of the world

    ReplyDelete
  5. ujumbe umefika. mheshimiwa nani anakufanyia hiyo blogu?

    ReplyDelete
  6. I reserve my comments... :(

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...