Mie jina langu naitwa David. Ni Mdau mkubwa saaana wa blog ya Jamii tangu dei wani.Baada ya kukata Mwaka naomba nijiunge rasimi sasa ili tuendeleze libeneke pekee la kuburudisha,kuelimisha,kukemea ufisadi,n.k. Ila moja tu ninajiunga na masomo suun sijui nitayabalansi vipi na blog yetu ya jamii jamani....
NAWASALIMIA WADAU WOTE WA BLOG YA JAMII. NAAMINI HAWATASITA KUNIKARIBISHA NDANI YA JAMII.
Mdau David ( UK )
Mdau David, karibu sana tuendeleze libeneke. Ila mbona hujamwamkia Uncle michuzi? Sisi wadau wadogo humu tunanza na Shikamoo. Kubalansi Libeneke na Shule itawezekana, mimi niko Kindergaten hapo Forodhani, DSM, na mambo yanakwenda. Karibu sana
ReplyDeleteu r sooo kyuuuuuuuut, kiss kisss,
ReplyDelete