Home
Unlabelled
MNUSO WA WATANGAZAJI WA RADIO TIMES 100.5 FM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duh! kuna mwanamke mnono hapo kajiachia na sijui kibukta na bra tu kwenye party ya kazini. Mweee jamani haya mambo ya kuiga tutakoma?
ReplyDeleteKazini akirudi kila mtu akimwangalia atakua anamkumbuka na vibukta vyake....retreat parties na gateway za kazi twazifanya huku kila siku lakini huoni hayo mambo. Watu wanajiheshimu kweli. Hayo mambo ya south beach mwaona kwenye TV na kwa mitandao mnazania ni kila mtu anafanya hivyo....Nooooooo ni tofauti kabisa na mapicha yanayoonyeshwa...Watu wa makazi wanajiheshimu sana tu
Aaah, party yenyewe ilifanyikia beach na isitoshe labda huyo mdada aliogelea ndo maana akaamua kuvaa vazi lake la kuogelea.
ReplyDeleteBinafsi sioni kama kuna tatizo lolote kwa huyo dada kujiachia hivyo beach, angevaa hivyo katika sehemu ambayo sio beach ndo ningemshangaa.
Khs watu kukumbukia wakati wakiwa ofisini hao watu watakuwa na yao na huwezi kumridhisha kila binadamu katika dunia yetu hii.
sasa kwa kuwa ni party ya ofisi mlitaka huyo dada akaogelee na baibui? hebu tuache jamani sijui huko kwenu ni wapi ambapo kama mkifanya retreat ni lazima watu wajihifadhi hebu tudokeze pengine ni Sudan! lakini kumbuka party imefanyika beach na watu lazima wajiachie sasa sijui hapo watu wameiga nini??????
ReplyDeletehuyo ni dida wa mchops mh,yaani sijui kwa nini wadada wa tanzania wanashindwa kujithamini wao wenyewe na kutunza thamani za waume wao tubadilike jamani
ReplyDeleteDida wa mchops kaza buti mtoto umetulia,lazima utofautishe mavazi ya kazi na party,wangapi wanajulikana kazi yao kujaza nguo waonekane wamenona maeneo fulani lakini sis Dida sio mchezo achana na wanga hao,wanakuwangia kweupe!!? sis umeumbika ndio maana shem kapagawa pia kakuruhusu vazi upendalo hivyo hivyo...lol
ReplyDeleteParty za marafiki na ndugu tembea uchi unavyotaka. Lakini party za kazini!!!! Aghhh hata mimi namuunga huyo hapo juu. Wrap up...ziko swimming suit zenye kucover vizuri sana tu. Sio kuachia nyama hivyo na uko na wafanyakazi wenzako.
ReplyDeletenaomba mnijibu mnavyosema party za kazini avae nguo za heshima,kwani kazini anafanya kazi na wanyama? mbona mnaenda nje ya mada?acheni ushamba,ndio nyie mnaojifanya kumjadili Dida mnamuonea gele,huko beach anaenda siku maarumu why asjiachie?yeye hajatembea uc.. kama usemavyo kuwa makini
ReplyDelete