Party hii ya watangazaji wa Radio Times 100.5 fm ilifanyika kuleeee katika fukwe za South Beach Kigamboni Jijini Dar
mambo ya jive
bwawa oye!
msosi time

wadau wakiwa happy





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Duh! kuna mwanamke mnono hapo kajiachia na sijui kibukta na bra tu kwenye party ya kazini. Mweee jamani haya mambo ya kuiga tutakoma?

    Kazini akirudi kila mtu akimwangalia atakua anamkumbuka na vibukta vyake....retreat parties na gateway za kazi twazifanya huku kila siku lakini huoni hayo mambo. Watu wanajiheshimu kweli. Hayo mambo ya south beach mwaona kwenye TV na kwa mitandao mnazania ni kila mtu anafanya hivyo....Nooooooo ni tofauti kabisa na mapicha yanayoonyeshwa...Watu wa makazi wanajiheshimu sana tu

    ReplyDelete
  2. Aaah, party yenyewe ilifanyikia beach na isitoshe labda huyo mdada aliogelea ndo maana akaamua kuvaa vazi lake la kuogelea.

    Binafsi sioni kama kuna tatizo lolote kwa huyo dada kujiachia hivyo beach, angevaa hivyo katika sehemu ambayo sio beach ndo ningemshangaa.

    Khs watu kukumbukia wakati wakiwa ofisini hao watu watakuwa na yao na huwezi kumridhisha kila binadamu katika dunia yetu hii.

    ReplyDelete
  3. sasa kwa kuwa ni party ya ofisi mlitaka huyo dada akaogelee na baibui? hebu tuache jamani sijui huko kwenu ni wapi ambapo kama mkifanya retreat ni lazima watu wajihifadhi hebu tudokeze pengine ni Sudan! lakini kumbuka party imefanyika beach na watu lazima wajiachie sasa sijui hapo watu wameiga nini??????

    ReplyDelete
  4. huyo ni dida wa mchops mh,yaani sijui kwa nini wadada wa tanzania wanashindwa kujithamini wao wenyewe na kutunza thamani za waume wao tubadilike jamani

    ReplyDelete
  5. Dida wa mchops kaza buti mtoto umetulia,lazima utofautishe mavazi ya kazi na party,wangapi wanajulikana kazi yao kujaza nguo waonekane wamenona maeneo fulani lakini sis Dida sio mchezo achana na wanga hao,wanakuwangia kweupe!!? sis umeumbika ndio maana shem kapagawa pia kakuruhusu vazi upendalo hivyo hivyo...lol

    ReplyDelete
  6. Party za marafiki na ndugu tembea uchi unavyotaka. Lakini party za kazini!!!! Aghhh hata mimi namuunga huyo hapo juu. Wrap up...ziko swimming suit zenye kucover vizuri sana tu. Sio kuachia nyama hivyo na uko na wafanyakazi wenzako.

    ReplyDelete
  7. naomba mnijibu mnavyosema party za kazini avae nguo za heshima,kwani kazini anafanya kazi na wanyama? mbona mnaenda nje ya mada?acheni ushamba,ndio nyie mnaojifanya kumjadili Dida mnamuonea gele,huko beach anaenda siku maarumu why asjiachie?yeye hajatembea uc.. kama usemavyo kuwa makini

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...