Waziri wa Afya, Profesa David Mwakyusa akijaribu moja ya magari 14 ya wagonjwa ambayo ni msaada kutoka Jumuiya ya nchi za Ulaya katika hafla fupi iliyofanyika Dar leo kwa ajili ya kuboresha huduma za mama wajawazito na watoto.
Mbali ya magari ya wagonjwa jumuiya hiyo imetoa pikipiki 5, Laptop Compyuters 4, Photocopy mashine vikiwa na thamani ya zaidi y ash. Bilion moja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Kaka Nanihii!
    Tunawashukuru sana walipa kodo wa ulaya kwa msaada wao. Ombi kwa Mh waziri ni moja tu awanasihii wahudumu wa vyombo hivyo kuvitunza hasa kwa kuvifanyiausafi na muhimu VITUMIKE KWA MAKUSUDIO HALISI na SII KUBEBEA MIKAA NA KUENDEA SOKONI AMA KUTEMBELEA SEHEMU ZA BURUDANI na kupigia DUBAAAAAIIIIII!

    ReplyDelete
  2. je hawataiba hizo spare za gari?
    Mungu tubariki...

    ReplyDelete
  3. hope hawatayagueza daladala! hizo laptop imetoa hiyo! dada, kaka , shemiji nini! thanx europe.

    ReplyDelete
  4. Tunashukuru kwa msaada. Tujitahidi na sisi kuboresha miji, miundombinu na taratibu za matumizi ya barabara. Tujiulize, mgonjwa amezidiwa kimara saa 2 asubuhi, anawezaje kuwahishwa muhimbili kwa ambulence hasa asubuhi? mama mjamzito anayekaa kule kule kwa nanihii atafikiwaje na ambulence?

    ReplyDelete
  5. Je dereva wa ambulance atafika vipi na baada ya muda gani kwa huyu mjamaa hapa (anko nanihii) ambaye ametuambia anakaa nyuma ya duka la mangi au mpemba pale karibu na mbuyu mkongwe, na jirani sana na mama saumu? Huyu dereva atapata muda wa kuulizia hivyo...du

    ReplyDelete
  6. nawaonea sana huruma hawa wanaotoa misaada TZ haifiki ngo! mwenyewe kwa wenyewe, very sad!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...