Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika - VOA Swahili - inapanua huduma yake ya habari kwa ufupi kwa wadau wote wanaozungumza kiswahili duniani.

Kupata habari kwa ufupi katika ujumbe wa simu jiandikishe kwa kutuma SMS yenye neno - HabariVOA - hadi namba 44 79 5008 1488.

Huduma hii ni ya BURE kutoka VOA Swahili ila unaweza kutakiwa kulipa gharama za kawaida za SMS kutoka shirika lako la simu. Unaweza pia kujiandikisha online kwa kwenda hapa:
http://www.voanews.com/swahili/sms-signup.cfm

NB: Huduma hii ni bomba sana kwa wadau walioko ughaibuni ambao wanataka habari muhimu, fupi, kwa haraka kutoka eneo lote la Afrika Mashariki na Kati.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...