Meneja Mauzo wa kanda ya kaskazini wa Vodacom Henry Tzamburakisi akikabidhi Vyandarua kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh. Isidori Shirima

Kaimu Mganga Mkuu na Daktari Mfawidhi wa Hospitali ya Mount Meru Arusha Dk. Mariam akipokea Vyandarua kutoka kwa Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh. Isidori Shirima.

Meneja wa Vodacom wa wateja wa Malipo ya baada wa kanda ya Kaskazini Ndugu, Elifuraha paul Mtowe akihutubia katika hafla ya Kukabidhi Vyandarua 1080 katika hospitali na vituo vya afya katika Mikoa mitano ya Kanda ya Kaskazini.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...