Hawa ni baadhi ya wanafunzi wa Tanzania ambao wiki hii walishiriki tamasha la kimataifa la utamaduni na Urafiki katika jiji la New Delhi, India, wakiwa washiriki pekee wa Afrika ambapo nchi 14 zilishiriki kwa lengo la kuwaleta wanafunzi wa mataifa mbalimbali pamoja na kuweza kuonyesha utamaduni wao na kujenga urafiki.
washiriki wa Tanzania na wenzao toka Palestina
wakiwa na washiriki wa mataifa mbalimbali
mara baada ya tamasha wakiwa na mkuu wa kikundi Bw Nasser Kingu
ilikuwa furaha na urafiki katika utamaduni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. sitaki kuamini jicho langu
    hahhahahaaa uwiiiii wee LITTLE ELLEPHANT anne weeee mtoto weee?????!!

    hahahahaaaaaa duh sikuwezi shosti khaaa umu bloguni tena?hahahaaaa

    yan sina mbavu apa duh!!

    khaaa ilikua welcome njukazz nn?first year??

    saaaaaaaaaaaaaaaaafi sana dogo dunia zima unaonekana!!hahahaaa

    mie dadako!!ndope

    ReplyDelete
  2. Huyo mwenye begi jeusi picha ya 2 na ya 4 anaitwa nani, msaada please. Ningependa kufahamiana naye. I think this is love at first sight, serious.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...