Dear Michuzi,
I am looking for a website marketing agent, he/she should sell adverts for placement on the website and as well popularize the website. payment will be on commision basis.
Intererested parties please write to
Regards John

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. nenda adEngage, adbrite, adgitize, cmfads, or project wonderful watakucharge kidogo tu na matangazo yako yatawafikia watu wengi sana

    ReplyDelete
  2. MMHHH hicho kiingereza ulichotumia kueleza kuhusu soko net nzitooooo

    Hivi Tanzania hamna editing company? nakuja kufungua hii biashara. Hii inatupotezea sana biashara vichwa tunavyosana lakini kujieleza ni ngumu. Kugha ya biashara inatakiwa iwe simple na laini. Yaani unamfanya mteja atumie ubongo wake kujitahidi kujua ni huduma gani unayomuuzia...just be simple and soft

    ReplyDelete
  3. I had a look at your website and to be honest it needs alot of work still. I don't think you can afford my services at present moment. All the best

    ReplyDelete
  4. ATAUZAJI ADVERTS, YEYE NDO ATAFUTE MATANGAZO YA BIASHARA NA VITU MBALI MBALI TOKA KWA WATU NDO ALIPWE HIYO POSHO, SIDHANI HUKO NI KUUZA, ATAUZAJE MATANGAZO!!!!

    ReplyDelete
  5. atauza space kwenye web kwa ajili ya matangazo si yeye atauza matangazo, english ni Kanumba, also these things needs business education- sales and advertising education ndo utajuwa namna yakuyaeleza haya mambo, hatusemagi ata-sells adverts, how? who gonna buy your adverts?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...