Dear Michuzi,
I am looking for a website marketing agent, he/she should sell adverts for placement on the website and as well popularize the website. payment will be on commision basis.
Intererested parties please write to
Regards John
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
nenda adEngage, adbrite, adgitize, cmfads, or project wonderful watakucharge kidogo tu na matangazo yako yatawafikia watu wengi sana
ReplyDeleteMMHHH hicho kiingereza ulichotumia kueleza kuhusu soko net nzitooooo
ReplyDeleteHivi Tanzania hamna editing company? nakuja kufungua hii biashara. Hii inatupotezea sana biashara vichwa tunavyosana lakini kujieleza ni ngumu. Kugha ya biashara inatakiwa iwe simple na laini. Yaani unamfanya mteja atumie ubongo wake kujitahidi kujua ni huduma gani unayomuuzia...just be simple and soft
I had a look at your website and to be honest it needs alot of work still. I don't think you can afford my services at present moment. All the best
ReplyDeleteATAUZAJI ADVERTS, YEYE NDO ATAFUTE MATANGAZO YA BIASHARA NA VITU MBALI MBALI TOKA KWA WATU NDO ALIPWE HIYO POSHO, SIDHANI HUKO NI KUUZA, ATAUZAJE MATANGAZO!!!!
ReplyDeleteatauza space kwenye web kwa ajili ya matangazo si yeye atauza matangazo, english ni Kanumba, also these things needs business education- sales and advertising education ndo utajuwa namna yakuyaeleza haya mambo, hatusemagi ata-sells adverts, how? who gonna buy your adverts?
ReplyDelete