Home
Unlabelled
watangazaji chipukizi watia fora
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nadhir Mayoka (RIP) Mwenyezi amuweke sehemu Nzuri. Naomba kuuliza Nadhir ndiye yule alifariki game yake ya Mwisho Alitangaza Yanga na Timu moja kati ya Mbeya au iringan ilikuwa mdogo sana na Umri wa miaka 7. Kama ndio huyo alikuwa kiboko Ahmed Jongo na Charles Hilal walikuwa wanapenda kuongeza Mpya sababu tunasikiliza kwenye Radio Mbao.
ReplyDeleteunawezaje kuwataja mabest bila kumtaja Domminick Chilambo?(RIP)wa kutoka ccm kirumba,,
ReplyDeleteWatangazaji wa RTD/TBC walinogesha mechi.
ReplyDeleteZamani enzi zile wakati wa redio moja,tulikuwa tunaanika beteri za radio ili jioni umsikie Anko fadha Ahmedi Jongo, Kipozi, Mshindo Mkeyenge, mikidadi mahmood, Salim mbonde, marehemu Nadhiri Mayoka, Charles Hirary, Dominic Chilambo, Abdul Masood, Sekioni Kitojo, Tido Mhando, Juma Ngondae na wengineo wengi ngoma ilinoga kweli kweli.
Mpira ulikuwa na shauku kubwa zile lalalalalalala gooooooooo......hapanaa inakuwa nini pale.... watu huko walikuwa wanapiga teke redio zao, kwa sasa sina uhakika na watangazaji wa leo.
Zamani wakati wa magazeti matatu ambapo mawili yalikuwa ya kiswahili na moja la kiingereza, alikuwepo kaka yangu James Nhende ambaye sasa yuko mwanza. (zile habari za Chama na Mogela, Selamani sanga na Willie Mwaijibe siku hizi hazipo),
TBC kweli ni chuo kwa sababu sasa yuko Juma Nkamia, Dada Halima Mchuka, Jesse John na chipukizi hawa kiwa Bwigane. Kweli wanajitahidi
Kuna Mdau kanisaidia Nilikuwa nauliza Mtangazaji alifariki Huyu mwengine baada kuweka Jina Domminick Chilambo ndio kumbukumbu imerudi R.I.P kwa Chilambo alikuwa Mtangazaji Mwenye kuvutia utangazaji wa Mpira Vizuri.
ReplyDelete