Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii
USHINDI wa mabao 4-2 dhidi ya Prisons umewawezesha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, kumaliza mzunguko wa kwanza wakiwa nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi hiyo.
Yanga sasa inasubiri kuanza mzunguko wa pili Januari mwakani ikiwa na pointi 21 sawa na Azam inayoshika nafasi ya pili kwa uwiano mzuri wa mabao ya kufunga na kufungwa.
USHINDI wa mabao 4-2 dhidi ya Prisons umewawezesha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, kumaliza mzunguko wa kwanza wakiwa nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi hiyo.
Yanga sasa inasubiri kuanza mzunguko wa pili Januari mwakani ikiwa na pointi 21 sawa na Azam inayoshika nafasi ya pili kwa uwiano mzuri wa mabao ya kufunga na kufungwa.
Kwa habari kamili
Hivi hawa wadhamini wanaotoa jezi kwa timu huwa hawatoi na muscle tight/bana misuli za rangi moja? Maana unakuta mchezaji wa yanga kavaa bana misuli nyeupe ama wa simba kavaa nyeusi wakati hiyo si rangi ya timu zao wakati mwingine unakuta wachezaji wa timu moja bana misuli rangi tofauti tofauti au ndo wanajinunulia wenyewe?? TFF ufafanuzi please.
ReplyDeleteMICHUZI!! ACHA Unazi!!
ReplyDeleteNimekuwa nikiifuatilia sana blog yako kwa muda mrefu. Nilichogundua huwa kidogo una unazi kwenye mambo mengine hasa ya soka. Tunajua kabisa wewe ni mnazi wa Bwawa la maini kwa timu za nje; lakini kwa nchini hujajidhihirisha rasmi wewe ni wa yanga au simba. Hoja yangu si kujua wewe ni msimba au myanga ila ni tabia yako ya kuegemea upande mmoja zaidi kuliko mwingine. Unatoa sana picha na habari za yanga kuliko simba kwanini? kwa mfano juzi simba ilicheza na mtibwa mechi ambayo ilikuwa na mguso wake kwa maana ya je simba itaendeleza ushindi wake au mtibwa itatibua record ya simba; cha kushangaza si picha si habari za mechi ya juzi hazikuonekana kwenye blog ya jamii. Nakuomba jaribu kututendea haki wanablog wote wa simba au wa yanga.
Wadau Kunradhi,
ReplyDeleteSina kawaida ya kupitia mlango huu wa uani ama kuingilia maoni ya wadau. Lakini maoni ya huyo anonymous wa 08:46:00 yamenikuna na kunitia simanzi maana naona mdau aidha ni mgeni wa globu ya jamii ama ana lake jambo. sipendi malumbano, mie nasema kwa vitendo. namwekea link itayomdhihirisha kwamba huna haki ya kuongea kama hujafanya utafiti wa kina.
Mdau bofya link hii tafadhali:
http://issamichuzi.blogspot.com/search?q=simba&x=37&y=21
Michuzi achana na watu wengine who likes to draw conclusion through their assumption, mdau u r supposed to ask not jumping straight to your conclusion
ReplyDeleteasante sana
picha za simba zilitoka wewe. akuna upendeleo hapa. yanga oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
ReplyDeleteBINAFSI SIAMINI KWAMBA WAKATI TAIFA KUBWA SIMBA SSC LIKIENDELEA KUUNGURUMA, KUNA MTU ANAWEZA KUTOA HABARI ZA YANGA AFRIKA AMBAYO IKO NAFASI YA TATU!
ReplyDeleteHUU NI UNAZI ULIOPINDUKIA MIPAKA, NA NDIO UNAOREJESHA NYUMA KANDANDA LA BONGO.
MBONA SIJAONA MMETOA HABARI ZA AZAM INAPOFANYA VITU VYAKE, WAKATI AZAM IKO JUU ZAIDI YA YANGA?
KAMA HAKUNA HABARI MPYA JUU YA MATOKEO YA LIGI YA TZ BORA ENDELEENI TU KUTOA MAAJABU YANAYOENDELEA KUFANYWA NA WAFALME TAIFA KUBWA!
HABARI ZA YANGA NI SHOMBO NA UVUNDO MTUPU, HAWANA JIPYA.
NA HUU UWE MWISHO WA KUTUPOTEZEA MUDA KWA HABARI ZA KANDAMBILI ZA JANGWANI.
Kulaladek!!!
Kutoka Ukerewe