SWALI: Wazo la kuanzisha show za mashuleni kwa ajili ya wanafunzi limetoka wapi?
ALLAN: Idea ya show ya wanafunzi, ni idea iliyokuwepo muda mrefu kichwani mwangu, na nikasema kama nikipata nafasi ya kuwa kwenye tv au radio, moja ya show ambazo nitazianzisha ni show ya wanafunzi, nilipopata nafasi ya kujiunga na EATV, nikawa katika mlengo tofauti kidogo, nikafikiria sana show za muziki. Lakini nikiwa hapo nikakutana na wenzangu ambao walikuwa na idea kama hizo mfano Cynthia Lymo, ambao tayari walishaanza kuzitekeleza, basi mimi nikaonekana kuwa ni perfect person for it. Na obvious, mimi ndio niliyetoa jina la show, skonga. So, after that, we started working on our idea.
SWALI: Unafikiri kati ya Tanzania na nchi nyingine za Afrika Mashariki, ni wanafunzi wa wapi ni wajanja kimasomo na katika nyanja nyinginezo?
ALLAN: Duh, hilo swali ni tricky kiaina. Anyways, huwa nachat sana na wanafunzi kutoka Uganda na Kenya, na tanzania pia, nchi zote tatu ni wajanja, wanazidiana tu katika nyanja mbalimbali. Kiukweli, wanafunzi wa Kenya, wako much more exposed kwa maisha ya watu tofautitofauti, na wako more knowledgeable kulinganisha na tanzania na uganda, sisemi kwamba tanzania hawako hivyo, but ni wachache sana ambao wako hivyo. Asilimia kubwa ni wanafunzi wa kawaida tu ambao general knowledge walio nayo wao ni ndogo sana ukilinganisha na wenzao wa kenya au uganda. Lakini Tanzania mi nadhani wanafunzi wana vipaji sana, kama serikali ikiamua kulitazama hilo suala kwa makini, watathibitisha haya maneno yangu.
Kwa mahojiano kamili
BOFYA HAPA



Duuh! Sio kweli kabisa kwamba wanafunzi wa kenya wanatuzidi kihivyo, ila wewe Allan unatembelea shule unazozijua wewe, tembelea shule kama ACADEMIC INTERNATIIONAL ya mikocheni, st. marian au usione uvivu wakutembelea shule zilizoko mikoani kama st. marygorette iliyopo moshi nk. huko mzee kuna mapishi yaliyopikwa yakaiva, usiwe unatembelea tu shule zilizoko karibu na maeneo yako au ulizo na interest nazo
ReplyDelete"Kiukweli, wanafunzi wa Kenya wako much more exposed kwa maisha ya watu tofautitofauti, na wako more knowledgeable kulinganisha na tanzania na uganda"
ReplyDeleteWhat an utter drivel coming out of this poof looking twat.
mimi sikubalini na wewe kabisa Allan, mwanafunzi na mwanafunzi kusema eti wakenya wako juu, SIKUBALINI NA WEWE, mambo ya shule ni individual sio ku generalize kiivyo eti wanafunzi wa kenya wako juu kuliko wa tanzania na uganda hata kenya kuna wanafunzi wasio na ufahamu mkubwa na wenye ufahamu mkubwa tanzannia hivyo hivyo na uganda hivyo hivyo kuhusu ni wapi wengi wajinga na wapi wengi wenye ufahamu huwezi kusema kirahis hivyo ndugu
ReplyDeleteHa! kumbe huyu mtangazaji ni mwanaume!
ReplyDeleteMdau
Kenya
huyu tv presenter nashukuru yuko bongo katoa hayo maoni yake,angekuwa wa kwa wabeba box moto wake sijui nani angeuzima... tukubali kukosolewa....wakenya in general wako more exposed than tanzanian,thats what he is trying to say,thats why they're all over tanzania flooding the employment market....ukibisha bisha ika huo ndio ukweli.....ukikutana na graduate wa udsm unaweza kulia na kujiuliza huyu kweli ndio msomi!academically very good...high grades etc...but it takes more than grades in this world....inaniuma kusema haya kwani mimi ni mzalendo...IM SORRY IF I OFFENDED ANYONE
ReplyDelete