ashkirimu kali sana imedondoka hapa bagamoyo na maeneo ya kaole
kama unavyoona mwenyewe kwenye pics, nilikuwa nimekodi baiskeli hapa
sasa nilikoipaki nikakuta imenasa kwenye ashkirimu, vespa ya jamaa yangu ambaye angenipa lift na yenyewe imenasa kwenye lambalamba kama unavyoona, rav 4 tuliyotoka nayo Dar na yenyewe imenasa na injini imegoma kuwasha gari nadhani na yenyewe imeganda ashkirimu, ama kweli hii globu warming opss sory globo warming ni balaa, hali ya hewa inaweza kubadilika saa yoyote na mahali popote, nadhani muda si mrefu magorofa yetu ya Dar and vogue zetu kuna siku tutakuta zimeganda....wape wadau hiyo kitu kama warning ya globo warming.
..mdau vacation bagamoyo!!

mdau hapa umenoa! katika picha ulizobandika hakuna hata moja ya kutoka Bagamoyo!
ReplyDeletehapo hollandi baani ustueushee .huo mtaa wa hapo juu kune hicho kiji mtoo upo amsterdam rosenbuurt ukiwa unaelekea kune viooo.hahahahhahaha
ReplyDeleteMbona mdau unakuwa mwongo bwana eee? toka lini bagamoyo kumekaa hivi??labda kama huko nchi za wenzetu kuna sehemu inaitwa bagamoyo na kaole ndo kumedondoka ashkrimu hapo sawa lakini kwa bongo no way its a dream
ReplyDeletebongo yetu basi tu lkn kunawatu wanapenzi na nchi yao
ReplyDeletehuyu anaota joto la kwao Bagamoyo. Pole Ba/Bi mdogo
ReplyDeleteUKIONA NCHI NA BASKELI NYINGI UJUE NI HOLLAND HIYO,
ReplyDeleteMDAU.