Ankaal,
ashkirimu kali sana imedondoka hapa bagamoyo na maeneo ya kaole
kama unavyoona mwenyewe kwenye pics, nilikuwa nimekodi baiskeli hapa
sasa nilikoipaki nikakuta imenasa kwenye ashkirimu, vespa ya jamaa yangu ambaye angenipa lift na yenyewe imenasa kwenye lambalamba kama unavyoona, rav 4 tuliyotoka nayo Dar na yenyewe imenasa na injini imegoma kuwasha gari nadhani na yenyewe imeganda ashkirimu, ama kweli hii globu warming opss sory globo warming ni balaa, hali ya hewa inaweza kubadilika saa yoyote na mahali popote, nadhani muda si mrefu magorofa yetu ya Dar and vogue zetu kuna siku tutakuta zimeganda....wape wadau hiyo kitu kama warning ya globo warming.
..mdau vacation bagamoyo!!






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. mdau hapa umenoa! katika picha ulizobandika hakuna hata moja ya kutoka Bagamoyo!

    ReplyDelete
  2. hapo hollandi baani ustueushee .huo mtaa wa hapo juu kune hicho kiji mtoo upo amsterdam rosenbuurt ukiwa unaelekea kune viooo.hahahahhahaha

    ReplyDelete
  3. Mbona mdau unakuwa mwongo bwana eee? toka lini bagamoyo kumekaa hivi??labda kama huko nchi za wenzetu kuna sehemu inaitwa bagamoyo na kaole ndo kumedondoka ashkrimu hapo sawa lakini kwa bongo no way its a dream

    ReplyDelete
  4. bongo yetu basi tu lkn kunawatu wanapenzi na nchi yao

    ReplyDelete
  5. huyu anaota joto la kwao Bagamoyo. Pole Ba/Bi mdogo

    ReplyDelete
  6. UKIONA NCHI NA BASKELI NYINGI UJUE NI HOLLAND HIYO,
    MDAU.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...