Home
Unlabelled
bongo tambarare
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sio bongo pekee, hiyo parking ndivyo ilivyotengenezwa kupark kwenye nyasi, sasa mkipak kwenye concrete magari yatapita wapi hapo.
ReplyDeletehiyo sijawahi kuiona ni mpya na wala sio yakujivunia,Je hiyo idara ya kutunza mazingira inafanya nini? nyasi zinatakiwa kutunzwa km maliasili zingine na sio kutumiwa kuegeshea magari,je hiko kiwanja kikifika miaka mitano hizo parking bado zitakuwa na nyasi? na hayo magari siitabidi kuwepo na Winch ya kuzitoa humo maana kutakua mashimo matupu, ikiwa barabara zenye rami zinachimbika sembusi hizo nyasi? Mdau Mbegu, UK
ReplyDeleteMkuu, bila shaka wanaogopa kuharibu hizo, sijui tiles? Hujaona watu wakivua viatu na kutembea peku ili visichafuke na tope?
ReplyDeleteMnashangaa nini? hiyo ndio Global warming mambo ya Green Green hayo na ndomana tunaendelea na CCM hahahaha. Pazi.
ReplyDeletethat is ridiculous
ReplyDeleteHizo ni plan mbovu tu ambazo tumezizoea bongo inabidi tubadilike sasa
ReplyDeletehi design ni nzuri sana kama ingekuwepo majuu,maana nyasi na matairi ni paka na chui so,ikiwa unyevu kidogo tu basi hiyo lami inachafuka tena watu wa kubeba boxi hapo wanacheka maana ajira ya kila siku hiyo kusafisha hasa nchi kama uk maleeds na scotlands kwenye hali ya hewa ya mvua mwaka mzima,lakini kwa bongo watu wa jiji wanaona mzigo kwa kuwa hawalipwi kama huku
ReplyDeleteSio kweli ,apa zipo pia
ReplyDeletemaskini,huruma eeh
ReplyDeletemkandarasi anajenga kulingana na matakwa ya mwenye mjengo,ingawa mara nyingi huwa anatoa ushauri wa kitaalamu,lakini wamiliki wengine wabishi kama huyo wa national stadium,utaona kabisa hayo majani ndio parking yao kwani hakuna parking ya tiles dunia nzima pia,kwanza tile zinateleza sio salama hasa ambako zimetumika kama through way to parking space,hivyo basi tungewashauri ndugu zetu watoe majani na tile waweke pavement or tarmac na majani kwenye mpaka baina ya space/space.....tile sio salama,just imagine mvua inanyesha then unapaki kwenye tight space
ReplyDeleteHiyo haijatulia! noma! aibu! tutachekwa! mkandarasi rekebisha please! yaani inanipa picha kwamba magari ni bora kuliko UOTO WA ASILI!!!.
ReplyDeleteHIYO NDO DESIGN ILIVYO JAMANI..! TATIZO NI MAZOEA TU..! UKIANGALIA KWA KARIBU NDO UTAONA KUWA KWENYE NYASI NDO PARKING..!
ReplyDeleteMKUU KUNA WATANZANIA HAWAWEZI KUONA TOFAUTI YEYOTE HAPO KWANI DESTURI ZETU HAZINA MTAZAMO WA DESTURI ZA WENGINE KAMA ULAYA AU KENYA KUWA SI VIZURI KUKANYAGA MAJANI MABICHI
ReplyDeleteHII INANIKUMBUSHA ULE MSEMO USEMAO "UNAWEZA UKAMTOA MTU KUTOKA KIJIJINI LAKINI HUWEZI KUKITOA KIJIJI TOKA KWA MTU" (YOU CAN GET A MAN OUT OF THE VILLAGE BUT YOU CAN NOT GET A VILLAGE OUT OF A MAN)
NDANI YA UWANJA HAIKUTENGENEZWA KWA KUPAKI MAGARI, PACKING ZA MAGARI HATA YA VIP ZIKO NJE. NI USHAMBA AU UVIVU TU TUNAINGIZA MAGARI NDANI. MAGARI YA NDANI NI AMBULANCE TU NA FIRE.
JAMANI HIYO YAITWA PRECAST CONCRETE GRASS PAVER ! NA HAYO MAJANI MNAYOYAONA YAMEOTESHWA KWENYE UWAZI ULIOPO KWENYE HIZO PAVER ! NA NI MAALUMU KWA AJILI YA DRIVE WAYS PAVEMENTS .
ReplyDeleteMzushi