ni bongo pekee ambapo utakuta magari yanaegeshwa kwenye nyasi kama inavyoonekana kwenye maegesho ya wanja jipya la neshno. wadau hii imekaaje?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. sio bongo pekee, hiyo parking ndivyo ilivyotengenezwa kupark kwenye nyasi, sasa mkipak kwenye concrete magari yatapita wapi hapo.

    ReplyDelete
  2. hiyo sijawahi kuiona ni mpya na wala sio yakujivunia,Je hiyo idara ya kutunza mazingira inafanya nini? nyasi zinatakiwa kutunzwa km maliasili zingine na sio kutumiwa kuegeshea magari,je hiko kiwanja kikifika miaka mitano hizo parking bado zitakuwa na nyasi? na hayo magari siitabidi kuwepo na Winch ya kuzitoa humo maana kutakua mashimo matupu, ikiwa barabara zenye rami zinachimbika sembusi hizo nyasi? Mdau Mbegu, UK

    ReplyDelete
  3. Mkuu, bila shaka wanaogopa kuharibu hizo, sijui tiles? Hujaona watu wakivua viatu na kutembea peku ili visichafuke na tope?

    ReplyDelete
  4. Mnashangaa nini? hiyo ndio Global warming mambo ya Green Green hayo na ndomana tunaendelea na CCM hahahaha. Pazi.

    ReplyDelete
  5. that is ridiculous

    ReplyDelete
  6. Hizo ni plan mbovu tu ambazo tumezizoea bongo inabidi tubadilike sasa

    ReplyDelete
  7. hi design ni nzuri sana kama ingekuwepo majuu,maana nyasi na matairi ni paka na chui so,ikiwa unyevu kidogo tu basi hiyo lami inachafuka tena watu wa kubeba boxi hapo wanacheka maana ajira ya kila siku hiyo kusafisha hasa nchi kama uk maleeds na scotlands kwenye hali ya hewa ya mvua mwaka mzima,lakini kwa bongo watu wa jiji wanaona mzigo kwa kuwa hawalipwi kama huku

    ReplyDelete
  8. Sio kweli ,apa zipo pia

    ReplyDelete
  9. maskini,huruma eeh

    ReplyDelete
  10. mkandarasi anajenga kulingana na matakwa ya mwenye mjengo,ingawa mara nyingi huwa anatoa ushauri wa kitaalamu,lakini wamiliki wengine wabishi kama huyo wa national stadium,utaona kabisa hayo majani ndio parking yao kwani hakuna parking ya tiles dunia nzima pia,kwanza tile zinateleza sio salama hasa ambako zimetumika kama through way to parking space,hivyo basi tungewashauri ndugu zetu watoe majani na tile waweke pavement or tarmac na majani kwenye mpaka baina ya space/space.....tile sio salama,just imagine mvua inanyesha then unapaki kwenye tight space

    ReplyDelete
  11. Hiyo haijatulia! noma! aibu! tutachekwa! mkandarasi rekebisha please! yaani inanipa picha kwamba magari ni bora kuliko UOTO WA ASILI!!!.

    ReplyDelete
  12. HIYO NDO DESIGN ILIVYO JAMANI..! TATIZO NI MAZOEA TU..! UKIANGALIA KWA KARIBU NDO UTAONA KUWA KWENYE NYASI NDO PARKING..!

    ReplyDelete
  13. MKUU KUNA WATANZANIA HAWAWEZI KUONA TOFAUTI YEYOTE HAPO KWANI DESTURI ZETU HAZINA MTAZAMO WA DESTURI ZA WENGINE KAMA ULAYA AU KENYA KUWA SI VIZURI KUKANYAGA MAJANI MABICHI

    HII INANIKUMBUSHA ULE MSEMO USEMAO "UNAWEZA UKAMTOA MTU KUTOKA KIJIJINI LAKINI HUWEZI KUKITOA KIJIJI TOKA KWA MTU" (YOU CAN GET A MAN OUT OF THE VILLAGE BUT YOU CAN NOT GET A VILLAGE OUT OF A MAN)

    NDANI YA UWANJA HAIKUTENGENEZWA KWA KUPAKI MAGARI, PACKING ZA MAGARI HATA YA VIP ZIKO NJE. NI USHAMBA AU UVIVU TU TUNAINGIZA MAGARI NDANI. MAGARI YA NDANI NI AMBULANCE TU NA FIRE.

    ReplyDelete
  14. JAMANI HIYO YAITWA PRECAST CONCRETE GRASS PAVER ! NA HAYO MAJANI MNAYOYAONA YAMEOTESHWA KWENYE UWAZI ULIOPO KWENYE HIZO PAVER ! NA NI MAALUMU KWA AJILI YA DRIVE WAYS PAVEMENTS .
    Mzushi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...