Makamu wa Kwanza wa Rais wa Chama cha Soka cha Ivory Coast Idriss Diallo (pili kulia) akiongea na waandishi kuhusu ujio wa timu ya nchi yake January 2, 2010 ambapo pamoja na kucheza mechi mbili watafunga kambi kujiandaa na kombe la Mataifa ya Afrika huko Angola
sehemu ya wanahabari kwenye mkutano huo leo
Kikosi cha Ivory CoastTIMU YA TAIFA YA IVORY COAST INA MPANGO WA KUWEKA KAMBI JIJINI DAR KWA MAANDALIZI YA KOMBE LA MATAIFA YA AFRIKA HUKO ANGOLA MWAKANI. HIVYO WADAU TUKAE MKAO WA KULA WA KUMUONA DIDIER DROGBA NA WENZIE.
RAIS WA TFF LEODEGAR CHILLA TENGA KAWAAMBIA WAANDISHI WA HABARI SASA HIVI KWAMBA IVORY COAST WATATUA DAR JANUARY 2, 2010 NA KUCHEZA MECHI MBILI. YA KWANZA KASEMA ITAKUWA JANUARY 4 NA YA PILI JANUARY 7, NA TIMU YA TAIFA - TAIFA STARS.
TAYARI UJUMBE MZITO WA TOKA NCHI HIYO UPO DAR KWA MAANDALIZI YA AWALI NA HIVI SASA UPO HOTELI YA NEW AFRICA KUONGEA NA WAANDISHI WA HABARI.
UJUMBE HUO AMBAO NI MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA CHAMA CHAMA CHA SOKA CHA HUKO, IDRIS DIALLO, KATIBU MKUU WAKE PAMOJA NA KOCHA WAO, VAHID HALILHODZIC, WAMESHATEMBELEA HOTELI KADHAA NA PIA UWAN JA MPAY WA NESHNO NA WAMEONESHA KURIDHIKA. ILA WAMETOA RAI KWAMBA UWAN JA WA GYMKHANA AMBAO WATAFANYA MAZOEZI MEPESI UREKEBISHWE..
IKUMBUKWE IVORY COAST IMEFUZU KUCHEZA KOMBE LOA DUNIA SAUZI NA MECHI YAO YA KWANZA WANAPIGA NA URENO JUNE 20, 2010 KABLA YA KUIVAA BRAZIL JUNI 25 NA KUMALIZIA NA KOREA KASKAZINI KATIKA MZUNGUKO WA KWANZA. UCHAMBUZI WA HABARI HII


kweli kwa MUNGU yote yawezekana
ReplyDeletei like the guy DRODBA
Ni taarifa nzuri ... Ningefurahi sana iwapo wangetuambia kwanini wamechagua nchi ya Tanzania ...ili tu niweze kujua our areas of strenght
ReplyDeleteAaaaah, mungu atupe nini tena Ngoja tumuone Drogba na ikiwezekana tuongee nae kabisa.
ReplyDeleteSasa chonde chonde ndugu zanguni wa simba na yanga, ule mpango wetu wa kunyea na kukojolea masinki ya uwanja mpya, hebu tuuache, tutajiabisha.
Nyokoinyo
kaka kombe la dunia linafanyika angola au south africa???? Sijaelewa mie
ReplyDeleteSiku hizi watu hawabani tena PUM%**# zao wanapoelemewa kufungwa.
ReplyDeleteNa kumbuka ule uwanja inashindikina kufukia vichwa vya mbuzi, Sasa wamegundua njia hii mpya ya kunya kwenye masinki vyooni. Jambo hili haswa hufanywa na mashabiki wa timu iloelewewa ktk kujaribu kuisaidia timu yao.
Hivyo mashabiki wa Yanga watakuwa wamekunya mara nyingi kwenye masinki kuliko wa Simba. Jirekebisheni siyo vizuri.
We nyokoinyo hapo juu, hauna jina lingine? hili jina mi nadhani haliendani na maadili yetu wabongo, kama ni tusi fulani hivi!
ReplyDeleteisitoshe we unaweza kuwa ndiye unayekunyaga ktk yale masinki, kwani hata jina lako kwa mbali linafanana na hicko kitendo
k'dume
Naandika katika Jina La Yesu kuwaambia Cote d'Ivoire. Mes amis Bienvenue a la Tanzanie.Karibuni sana Tanzania.Tanzanie est la Pay de paix. Tanzania ni nchi ya Amani. Les Tanzaniens ce sont bon.Watz ni wazuri. Na nyie waswahili washabiki onyesheni ustaarabu watakapokuwa hapa. Acheni udokozi wenu wa kijinga. Msijali kifaransa changu cha kuunga unga.
ReplyDeleteNi habari nzuri, lakini na mimi naungana na wadau wawili hapo juu. Kwanza huyo aliyesema kuwa tungependa kujua ni kwanini wamechagua Tanzania. Hili ni swali muhimu sana kwenu wote waandishi wa habari ili kujua strength zetu. Pia watakapofika au kabla ya kuondoka, ni muhimu kuwahoji tofauti yetu na nchi nyingine za africa ikiwemo yao juu ya hali ya uwanja, mazingira walikopita,mwamko wa watanzania juu ya soka, maoni yao juu ya taifa stars....nk
ReplyDeletePia naungana na mdau mwingine aliyesema kuwa wale washabiki waliokosa ustaarabu kuacha tabia za kutuaibisha. Tukumbuke kuwa Ivory Coast ni timu kubwa, hivyo, watakuja waandishi wa habari kibao kutoka kona mbalimbali za dunia. Sasa kama masinki yatajaa mikojo,yatapigwa picha kupelekwa nchini kwao na msishangae tukaambiwa uwanja wetu haufai kutumika kwa usalama wa afya za watu pamoja na upya wake.! Mkumbuke sio wote watakaopenda kuona Ivory Coast imekuja Tz. Majirani wengine ni sio wema!Naomba vyombo vya ulinzi, ikibidi walinzi wakae hata vyooni kufuta kashfa za kishenzi!. Nawakilisha!
ni taaarifa ya kusikitisha, utafikiri hatupo bara la afrika na kwa mara nyingine tena watanzania tunakuwa mashabiki wa cameroon, nigeria, ivory kombe la mataifa ya afrika. Na jezi zao tunavaa, ni lini basi na sisi tutakuwa mashabiki wa stars kwenye mashindano haya?
ReplyDeleteDada zetu tu ndio nawahurumia!
ReplyDeleteAaaa mi nilitaka waje Brazil, sasa hawa Ivory Coast aaaa imenibore hii, nataka Brazil
ReplyDeletebefore this,nilisikia brazil washaufanyia booking...kyawa????au hawakuridhika na wanja letu la neshno???nadhani club ya simba sasa ndo muda wao wa pekee kuvunja contract na chelsea,ili msimu ujao mzzee didier aingie simba tuendeleze dozi....hahaaa!!
ReplyDeleteAnyway, bado poa lakini imekuwaje? tulitegemea kumuona shemeji yetu Samuel Etoo na timu yake ya Cameron.
ReplyDeletethey have made a very poor choice really!!! they should at least opted for Zambia/kenya/ or sudan for those are teams that could give them a real test. taifa stars are so easy to beat, weak, with a notoriously rude coach. i'm sure after 90 minutes of the game the likes of didier, kolo, kalou, eboue will ask for probably more 90 minutes to be played and will straightaway resquest their coach for cancellation of the re-match and rather play 10-aside against themselves.
ReplyDeletehivyo vikina ngasa na mrwanda havitaweza kuwapa test yoyote hao wanaume wamepotea njia ni bora wangekwenda zambia au uganda.
wanadhani haruna moshi na chuji bado wamo stars!! mwenza keshawatema zamani gaaani!!
yeeees! kina dada tukae mkao wa kula lazima kum-Tiger Woods huyo didier! LOL
ReplyDeleteHakuna haja ya kushabikia Upumbavu kama huu, badala ya kupanga mikakati ya Taifa Stars nayo ifike ilipo Ivory Coast, tunawaona Ivory Coast Wamungu watu kuja kucheza hapa kwetu.Tutaacha shughuli zetu kwenda Airport kumpokea Drogba, Toure etc Tumegeuka tunashabikia nchi za watu kama Tanzania haina yenyewe, sijui tunalaana ya nani sijui !! Inakera !!
ReplyDeleteNot realy that we have some strengths on that! I guess it is cost that attatrcted them to Tanzania, it is cheap to put a camp in Tanzania compared to other countries especially those which are near to South African, also it is like MAFICHONI they wanna make suprise ti the international arena, they know majority of media organisations they goona be around South Africa.
ReplyDeleteWACHOVU TU HAWA IVORY COST SIDHANI KAMA WATAWAFUNGA TP MAZEMBE KWENYE FUNGUA DIMBA YA KOMBE LA DUNIA. NINA UHAKIKA TP MAZEMBE YA ZAIRE ITASONGA MBELEKUKUTANA NA ITALY AMA SWEDEN.
ReplyDeletewadau "mdau england" na "ex michuzi girl frendy"
ReplyDeletehahahahaaaaa hahahaaaa
me sielewi why huu umungu-mtu kwa ivory coast???kazi kurelaxer nywele kama wanawake
we kabada unaishi dunia ya wapi? sweden haipo world cup..acha ku abuse nyuzi za world cup
ReplyDeleteex girl friend wa michuzi umenivunja mbavu we kiboko kwi kwi kwiiiii
ReplyDeleteMichuzi naomba uperuzi kama kutakuwa na shuguli ya kupiga snepu na hawa mastaa, kama hamna mjaribu kufanya huo utaratibu uwepo kwani tupo tayari kupiga picha na kina didier na solomon kalou ( vijana wa chama letu) kwa gharama yoyote ile.Tafadhalini sana
ReplyDeletehii serikali ingekua imeona mbali wangejenga kiwanja kingine chenye hadhi ya kimataifa mwanza au Arusha manake dili namana hiyo zitakua zinakuja nyingi hasa wakat huu wa kombe la dunia na zitaingizia taifa fweza nyingi.
ReplyDelete