aliojitokeza kwa wingi kwenye msiba huu
Home
Unlabelled
BURIANI KAKA JULIUS MWINCHUMU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
RIP kaka kweli alikuwa meneja mahiri aliyeuweza mkoa wa Kilimanjaro. Nimepata taarifa hzi kwa mshtuko sana nadhani wakazi wengi wa Kilimanjaro watashtuka sana maana ni siku chache tulikuwa nae, poleni wanafamilia. RIP kaka
ReplyDeletepumzika salama kaketu, khanga zao zimenifanya nimkumbuke marehemu kakangu, ambaye tulimvalia khanga hizo mwaka jana. Daima tutakukumbuka kaketu. Mungu alaze roho za marehemu pema amen.
ReplyDeletePoleni wafiwa..maisha haya tuliyokopeshwa hata hatujui siku wala saa tutakayo yarudisha kwa mwenyewe....Kaka wa watu bado sio mtu mzima jamani wa kufa sijui ni stroke au heart attack. Binamu yangu naye alifiwa juzi juzi tu na baba yake week aliyokua anaolewa...(stroke)...It's so hard to loose someone that dear to your heart on your big day.
ReplyDeleteRIP
R.I.P my loving uncle. Will always miss you.
ReplyDeleteMichuzi, thanks for the photos.
Shemeji yangu mpendwa Julius Mungu akuweke mahali pema peponi, yaani siamini ni juzi tu tuliongea ukiwa mzima wa afya njema. Rafiki yangu mpendwa Rachel pole sana, Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mumeo. Love always from Susan Mrango.
ReplyDeleteIts so hard to believe and so hard to understand,but all in all is already happen,Is the GOD wishes,and upon his powers evrything happens,good time give memories as bad time gives experience,Rahel,Mungu akuitie nguvu utaweza,muombee mumeo apumzike kwa amani,simama ummepe nguvu mwanao Malcom.Bwana wa wajane yu pamoja nawe utashinda.Love always from Uncle Sam.
ReplyDelete
ReplyDeletePoleni sana familia yote ya Mzee Mwinchumu. Mungu awajalie ujasiri wa kuhimili msiba huu mkubwa kwenye familia.
Poleni wafanyakazi wote wa Tanesco (Kilimanjaro).
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Amina
Soames & Family
Reading, UK
It was shocking to hear the news of Julius' demise. He was my former neighbour in Mfaume St, Upanga. I understand how the whole family is going thru now. Rachel, Malcom, Mzee & mama Mwinchumu, Thomas, Louise, Catty, Ida and Clara, I am so very sorry for the loss of your beloved husband, father, son and brother.
ReplyDeleteHe is at the better place, called HEAVEN where we'll all see him again when we are called HOME. May Our good Lord comfort and give you strength and peace during this difficult time.
"Blessed are they that mourn for they shall be comforted"
~Matthew 5:4~
Angela W.M.
Singapore.