Jeneza lililo na mwili wa kaka yetu Julius Mwinchumu aliyetutoka ghafla Jumamosi wakati akijiandaa kwenda kwenye harusi ya dada yake likiwa katika kanisa la St. Alban jijini Dar leo kwa kuombewa kabla ya kupelekwa makaburi ya kinondoni kwa maziko. Marehemu alikuwa Meneja wa Tanesco mkoa wa Kilimanjaro
Mzee Mwinchumu na mama pamoja na sehemu ya familia
salamu za familia kushukuru waombolezaji w
aliojitokeza kwa wingi kwenye msiba huu
kanisa la St. Alban wakati wa ibada ya kumuombea Hayati Julius Mwinchumu leo




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. RIP kaka kweli alikuwa meneja mahiri aliyeuweza mkoa wa Kilimanjaro. Nimepata taarifa hzi kwa mshtuko sana nadhani wakazi wengi wa Kilimanjaro watashtuka sana maana ni siku chache tulikuwa nae, poleni wanafamilia. RIP kaka

    ReplyDelete
  2. pumzika salama kaketu, khanga zao zimenifanya nimkumbuke marehemu kakangu, ambaye tulimvalia khanga hizo mwaka jana. Daima tutakukumbuka kaketu. Mungu alaze roho za marehemu pema amen.

    ReplyDelete
  3. Poleni wafiwa..maisha haya tuliyokopeshwa hata hatujui siku wala saa tutakayo yarudisha kwa mwenyewe....Kaka wa watu bado sio mtu mzima jamani wa kufa sijui ni stroke au heart attack. Binamu yangu naye alifiwa juzi juzi tu na baba yake week aliyokua anaolewa...(stroke)...It's so hard to loose someone that dear to your heart on your big day.

    RIP

    ReplyDelete
  4. R.I.P my loving uncle. Will always miss you.

    Michuzi, thanks for the photos.

    ReplyDelete
  5. Shemeji yangu mpendwa Julius Mungu akuweke mahali pema peponi, yaani siamini ni juzi tu tuliongea ukiwa mzima wa afya njema. Rafiki yangu mpendwa Rachel pole sana, Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mumeo. Love always from Susan Mrango.

    ReplyDelete
  6. Its so hard to believe and so hard to understand,but all in all is already happen,Is the GOD wishes,and upon his powers evrything happens,good time give memories as bad time gives experience,Rahel,Mungu akuitie nguvu utaweza,muombee mumeo apumzike kwa amani,simama ummepe nguvu mwanao Malcom.Bwana wa wajane yu pamoja nawe utashinda.Love always from Uncle Sam.

    ReplyDelete

  7. Poleni sana familia yote ya Mzee Mwinchumu. Mungu awajalie ujasiri wa kuhimili msiba huu mkubwa kwenye familia.

    Poleni wafanyakazi wote wa Tanesco (Kilimanjaro).

    Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.

    Amina

    Soames & Family
    Reading, UK

    ReplyDelete
  8. It was shocking to hear the news of Julius' demise. He was my former neighbour in Mfaume St, Upanga. I understand how the whole family is going thru now. Rachel, Malcom, Mzee & mama Mwinchumu, Thomas, Louise, Catty, Ida and Clara, I am so very sorry for the loss of your beloved husband, father, son and brother.
    He is at the better place, called HEAVEN where we'll all see him again when we are called HOME. May Our good Lord comfort and give you strength and peace during this difficult time.

    "Blessed are they that mourn for they shall be comforted"
    ~Matthew 5:4~

    Angela W.M.
    Singapore.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...