makamu mwenyekiti wa taswa tom chilala (shoto) akimkabidhi kepteni wa timu ya business time rashid mbughuni kombe la ushindi wa jumla wa tamasha la michezo la waandishi wa habari katika ukumbi wa msasani beach jijini dar wikiendi hii. tamasha hilo lilidhaminiwa na TBL na kutumbuizwa na Msondo Ngoma Music band
business time wakishangilia ushindi wao wa jumla katika tamasha la michezo la waandishi wa habari lililofanyika msasani beach club


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...