Home
Unlabelled
chrispin na reza wameremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Halo haloo, mmependeza.Hope mtakuwa na same outfit @ Vantaa
ReplyDeletehongereni sana
ReplyDeleteCongratulation young brother, i have seen you growing up mtaani kwetu kalenga. may god bless that marriage.
ReplyDeletehongera sana maharusi. mungu awatie nguvu na mdumu ktk ndoa yenu. mmependeza sanaaaa,. aminia rezaaa!!aminia monty!!
ReplyDeleteNi tukio kuu katika maisha ya wanadamu, pongezi za dhati kwenu maharusi. Mungu awalinde na awaongoze katika maisha yenu ya ndoa, mpate baraka baraka nyingi na heri hapa duniani na huko mbinguni.
ReplyDeleteBest Regards
Dennis
Hongereni sana. Mmependeza sana. Uncle Willy.
ReplyDeleteMungu awbariki ktk ndoa yenu
ReplyDeleteReza mziray ulisoma shule ya msingi moshi?
Chrispin umependeza sana na mkeo. Hongereni sana. Wanawake mliokuwa mnamdokolea mimacho huyu bwana sasa mkome. Mungu kampa bonge ya mwanamke. Nyie mlie tuuuu
ReplyDeleteaaaa haki ya nani hii couple inameremeta vilivyo yani imeshine vibaya mno inatamanisha kuiangalia tuuu iko juu sana hongereni saaaaana mmependeza sana lol mungu awape maisha mema katika ndoa yenu amen
ReplyDeletemanka wa canada
Hongereni Sana Mr and Mrs Kinabo
ReplyDeleteHongera sana Reza na Monte. mmependeza saaaaana! tunawatakia baraka za mungu katika ndoa yenu.XOXO Wendi
ReplyDeleteKweli Montano umekuwa mpaka umeoa?
ReplyDeleteHongereni sana. Dada Lulu
Hongera sana wote, haswa Reza,nakumbuka enzi za ubatizo wa baby Imani na mama mkwe wako alikuwepo,khaaa siamini dunia hii,mama wa ubatizo kapata baba, alililiiiii,kila la kheri.
ReplyDeleteHongera sana maprofessional Siivoja wa Tampere, fagilia waaa waaah!!!Siku tumeingojea kwa muda mrefu na ilipendeza kwakweli.Tuliobahatika kuhudhuria,tuliona kwa macho jinsi mlivyojiandaa pale Mlimani city, kwa kweli mlijitahidi, kila la kheri.Mungu awajalie mbakie L&T ,katika shida na raha,forever.
ReplyDeleteHongera zenu, but mmetoka tu normal and fine,sio kivileee kama ambayo tulitegemea, kwa kweli mlijiandaa saana kwa muda mrefu, so tulitegemea mambo flani makubwaa.Si haba, la muhimu mmeowana.Tungojee ya ndugu zenu wiki ijayo, mungu awajalie wana Finland woote kwa maana kwakweli mmeamua wote kuwa NDUGU.
ReplyDeleteall the best,mlitoka simple but nice.Ila the wedding too white,Mr,angevaa black kidogo ingetia kagiza, but mmependeza, inatosha.
ReplyDeleteSafi sanaaa Reza and Monty, bila uwoga mkapeleka ndoa yenu bongo mbele ya friends, family and everybody else.You love each other and you guys have every right infront of God and everybody, basi mungu awajalie maisha mema, yenye furaha, amani, upendo na baraka za mwenyezi mungu teleee, kwa maana nyumba yenu imejaa baraka kila upande.
ReplyDeleteReza tunangojea picha kwenye facebook, walowivu wajinyongeeeee,Reza na Monty forever, mungu mwenyewe kapanga jamani,sio ndoa za kulazimishia,NO,NO, wanameremeta.
Engineer kaolewa jamani, vigelegele wote aluluuu,kwakweli tumefurahi sana nduguzo na marafiki.Reza umeenda kwenye familia nzuri sana, una akili, hauna haraka, umefikiria kwa utulivu, ukachagua ukoo wa maana.Hongera sana cousin,nikija Finland ntakutafuta.Kisses!!!
ReplyDeleteReza na Monty haooo, waa waaa fagilia salamu nyingi sana kutoka Tampere.
ReplyDeleteHongereni sana, mmeamua kuowana, very good, mkatulie sasa ndoani.Mkaheshimiane, mkapendane na mkayafuate yale ambayo wazazi na ndugu wamewaeleza.Monty katulie sasa baba, ujana basi.Iliyobakia kulea mke na mtoto,ok my bro?
ReplyDeleteMungu awajalie mdumu na mkapate watoto,all the best.
ReplyDeleteHii ndio naita kutendea haki watoto, maana bwana mzuri na bibi mzuri ni uhakika kabisa watoto watakua wazuri wakizaliwa hongereni sana ..wow huyu bwana harusi jamani mzuri
ReplyDeleteHongereni sana. Bwana Harusi unafanana sana na aliyekuwa Daktari wangu wa macho kwenye early 90's pale Muhimbili.Sijui ndie dadio. Anyway Hongera sana. Mnameremeta.
ReplyDeleteHongera sana Monty.....mungu awabariki kwenye maisha yenu ya ndoa!.....Dada Farida.
ReplyDeleteyaani mmetoka bomba ile mbaya,karibuni kwenye chama kisicho na ada mungu awasaidie muendelee kung'aa siku zote nje na ndani msisahau sala ndio nguzo kuu ya ndoa upendo wenu udumu daima , Reza mfaidi mumeo na Chispin mfaidi mkeo.
ReplyDeleteWow..the best weddin u can never have is a white/cream..u guys just KILLED IT...love u both
ReplyDeleteKila la kheri kamanda Monty na Reza.
ReplyDeleteNwatakia maisha mema na yenye baraka.
Salaam kutoka Passion
Msela and my sis Reza congratulations. Now your a family unit was nice seeing you guys and spending the whole day with you. Thankyou so much for giving me the time guys.
ReplyDelete