Kampuni ya kutengeneza Mafuta ya Kula na Jibini ya Malaysia inatafuta Wakala/Msambazaji wa Bidhaa zake kwa Tanzania.

Mafuta ya Kula ya "Palm Oil" ni kati ya mafuta salama kwa afya na hayana Cholesterol, Niandikie Email nitakutumia viambatanisho vyote vinavyoonesha Ingredients na maelezo mengine pamoja na kukuunganisha na wahusika.

Kampuni itasaidia kwenye gharama za Ku-pack na kwa jina lolote ambalo utapendekeza wewe.

Kwa habari zaidi wasiliana nami kwa:
piusmicky@yahoo.co.uk
+255 713 666616
+60176452510.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. TBS IMEYATHIBITISHA?

    ReplyDelete
  2. Kaka Pius mbona unatuangusha...michikichi kibao kule kigoma, waambie walete teknologia wazee wanalima kule hamna soko. Acha kutungusha ndugu yetu. Kama hivyo hamna sababu ya wewe kuwa huko ng'ambo, huku tunataka technology ili kuinua uchumi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...