DJ YOUNG KIM, MKONGWE WA DISKO NCHINI ALIYEFARIKI JANA, ANATARAJIWA KUZIKWA LEO KATIKA MAKABURI YA KISUTU JIJINI DAR ES SALAAM MAJIRA YA SAA KUMI JIONI.
KWA MUJIBU WA DJ SEYDOUE MKANDARA, RAFIKI WA KARIBU NA MNSHIRIKA MKUU WA MAREHEMU DJ YOUNG KIM, MWILI WA MAREHEMU UTALETWA NYUMBANI KWAKE MTAA WA MKWEPU ASUBUHI HII AMBAPO NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WATAUAGA RASMI.
MUDA UTAPOWADIA, ANASEMA SEYDOE, MWILI UTAPELEKWA MSIKITI WA NGAZIJA MTAA WA MAKUNGANYA KWA AJILI YA KUSWALIWA KABLA YA KUELEKEA MAKABURINI.
MOLA AIWEKE MAHALI PEMA
PEPONI ROHO YA MAREHEMU
AMINA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. inalilah ilah laajiun!

    ReplyDelete
  2. Kaka Michu....Huyu ni miongoni mwa Ma DJ wakongwe...tunaomba fanya hima utuwekee snapu yake...Mdauz.

    ReplyDelete
  3. jamani huyu ni dj yupi younger milioner walikuwa wana mwita group moja na kina dj luke aliyekuwa america jamni pole sana mungu amlaze mahali pema popeni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...