DJ YOUNG KIM, MKONGWE WA DISKO NCHINI ALIYEFARIKI JANA, ANATARAJIWA KUZIKWA LEO KATIKA MAKABURI YA KISUTU JIJINI DAR ES SALAAM MAJIRA YA SAA KUMI JIONI.
KWA MUJIBU WA DJ SEYDOUE MKANDARA, RAFIKI WA KARIBU NA MNSHIRIKA MKUU WA MAREHEMU DJ YOUNG KIM, MWILI WA MAREHEMU UTALETWA NYUMBANI KWAKE MTAA WA MKWEPU ASUBUHI HII AMBAPO NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WATAUAGA RASMI.
MUDA UTAPOWADIA, ANASEMA SEYDOE, MWILI UTAPELEKWA MSIKITI WA NGAZIJA MTAA WA MAKUNGANYA KWA AJILI YA KUSWALIWA KABLA YA KUELEKEA MAKABURINI.
MOLA AIWEKE MAHALI PEMA
PEPONI ROHO YA MAREHEMU
AMINA
inalilah ilah laajiun!
ReplyDeleteKaka Michu....Huyu ni miongoni mwa Ma DJ wakongwe...tunaomba fanya hima utuwekee snapu yake...Mdauz.
ReplyDeletejamani huyu ni dj yupi younger milioner walikuwa wana mwita group moja na kina dj luke aliyekuwa america jamni pole sana mungu amlaze mahali pema popeni
ReplyDelete