Kaka natumai umzima na pole sana kwa kazi za kuendeleza libeneke la Globu yetu ya jamii, Napenda ku-share na wadau wenzetu katika kuwakilisha picha hizi za Sister wetu Dk.Deborah Gindu Kalunga Ambaye amekula Nondozzz yake (Degree of Master of International Public Health) katika chuo kikuu ncha University of Nottingham. Dk Deborah Kalunga anatarajiwa kuwa Nyumbani Tanzania Kabla ya Mwaka mpya. Katika picha Nyingine akiwa na Cousin yake Mwamvita Gozza katika kusherekea Graduation hiyo huko katika mji wa Nottingham. Pia Familia ya Kalunga inapenda kuwatakia kila la kheri wadau wote katika kusherehekea Siku kuu hii ya Xmas na mwaka mpya.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. congrats dr. Debbie. Much love Gindu!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Congratulations Deb.
    Great job!

    ReplyDelete
  3. Hongera sana Dada yetu ila mnatuchanganya mnaposema Dr. halafu mnasema amepata Masters sasa huo Dr. wa vipi? au yeye ni Daktari wa kutibu watu?
    Anyway Dr. Deb hongera sana

    ReplyDelete
  4. hongera saaaaana kwa akula nondo uitumie kwenye kazi well done!!

    ReplyDelete
  5. JAMANI TAFSIRI YA UNIVERSITY KIUTA CHUO KIKU SI SAHIHI UNIVERSITY NI CHUO TU KWA TAFSIRI SAHIHI, HII CHUO KIKUU ILKUJA TANZANIA KWA VILE KILIPOANZISHWA KILIKUWA KIMOJA TU KINATOA ELIMU YA JUU SO WAKAITA CHUO KIKUU, UNIVERSITY NI CHUO TU KWA TAFSIRI SAHIHI

    ReplyDelete
  6. unaeuliza ni dr ama yes ni daktari alipata pale muhimbili

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...