Hapa ni katika libeneke la droo ya mwisho ya promotion ya Safari Lager
iliyofanyika tarehe 21 December 09. Pichani Bw. Abdallah toka bodi ya
michezo ya kubahatisha akisimamia droo hiyo.

Washindi wane tayari wamejinyakulia zawadi zao na kula sikukuu ya
krismass kwa furaha. Washindi hao ni;

1. Elias Edward Nundwe (46 yrs) wa Mbozi, Mbeya ameshinda trekta lenye
jembe
2. Denis Amos Mushi (35 yrs) wa Kiboroloni, Moshi ameshinda Trekta lenye
jembe
3. Jonson John Rugumamu (35 yrs) wa Kimara kona, Dar ameshinda Mtaji wa
kuanzisha baa.
4. Leonard Paulo (53 yrs) wa Igoma Mwanza ameshinda Mtaji wa kuanzisha
baa.

Washindi wote watakabidhiwa zawadi zao mwezi Januari 2010.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...