Home
Unlabelled
Fulham vs Manchester United
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
siku zote uwezo wa kocha hupimwa pindi anapokuwa na scarce resources ndio maana kocha wa everton david moyes anakuwa kocha bora wa msimu mara kwa mara... leo hii ghafla wafanye mabadilishano kati ya wenger na ferg nina uhakika wa idadi ya vikid alivyonavyo wenger akikabidhiwa ferg tofauti na tulivozoea kila mwaka vinashiriki champion league lazima mwaka huu timu ishuke daraja. nilisha wahi kusema unapo chekelea harusi ukumbuke na misiba unashiriki... watu walimcheka sana my fellow dead living man rafael benitez na bwawa lake la maini huku wakisahau ni muda tu ukifika kila mtu atalia kikwao (Kikabira lake)... sasa hao migambo wa uingereza wenye "V" kifuani leo hii nao wameanza kulia kikwao, wengine skipper wao baada ya kuifunga arsenal alisema tunataka ifikapo january wakati wachezaji wanaelekea CAN wawe wamesha tangaza ubingwa na jana wamepakatwa... sasa sielewi alikuwa anaota ndoto za alinacha au nae ni kama chuji majani kwa sana! ubingwa bado ni open ila kama ni mwizi mpaka anajisalimisha kituo cha police wenyehasira watakuwa wamemchania chania vibaya mno shati lake...
ReplyDeletehaya wadau nauli tena nani bingwa msimu huu?
NONDO
bado hatujaona game
ReplyDeletewewe anonymous wa juu hapo hayo maneno yako ya ushabiki ya Arsenal yatakutokea puani timu yenu yenyewe ya Arsenal hamna pia uhakika mara leo ushindi mara draw yaani hamna wa kumcheka mwenzie hapo. Tuone sasa urafika wapi na hao vikidi wenu unaowasifia.
ReplyDeleteGunners hata mfanye nini hamuwezi kuchukua ubingwa wa EPL! Kila mwaka mnaingia CL lakini hamjawahi kuchukua kombe la CL hata mwaka mmoja! Historia inaonesha Nottingham Forest wamechukua mara mbili vipi Gunners, mbona Wenger anazeeka bila CL hata mara moja!!!!!!!!! Ubingwa bado upo kwa Man United!!!!!!!!! Arsenal ni kama Mtibwa tu kwa Simba na Yanga!!!!!!!!
ReplyDeletewewe nondo unauliza bingwa atakuwa nani? bingwa atakuwa Burnley, nafasi ya pili atakuwa aston villa,ya tatu fulham na ya nne liver ila chelsea atashiriki uefa ndogo mwakani kwani atakuwa wa tano
ReplyDeletetena nondo umesahau; migambo wa uk wale waliopanda cheo huwa sare zao zina "V" moja kifuani badala ya mkononi/begani kama ilivyo kwa majeshi mengine yanayothaminiwa na serikali kuu na kazi yao ni kupambana na ombaomba mijini pamoja na wamama ntilie kuhakikisha jiji la manchester linakuwa safi
kama kuna anae bisha amuulize rooney kazi yake ni nini?
nyinyi mashetani wekundu hamna kitu.kama manahakika na ubingwa si m bet
ReplyDeletewe mzee vp mbona unapenda kuingilia mambo ya wa2,mbona matokeo yenu huandiki?
ReplyDeletemshabiki yoyote wa arsenal anajua timu yake ikoje,hio ni academy ya france,na kuuza vipaji duniani,hawako hapo kwa ubingwa hata wacheze vipi hawachukui ubingwa,ubingwa uliisha enzi za henry,ljunberg,bergkamp,pirez,viera nk sasa hivi ni premier league entertainers.....ubingwa uko open and up for grab btn man utd na chelsea
ReplyDeleteKaka Michu vip leo!!! au ni hii X-mas ndo inakupa presha mpaka unaamua kuturudisha utotoni coz hii tarehe ya leo imenikumbusha mbali sana!!!! pole sana kaka na majukumu yanayokukabili!!!!!
ReplyDeleteZe michu blog daima!!!!
Merry x- mass@@!@#$%%