Mdau George Josephat Mkoma, mfanyakazi wa Shirika la CARE International jijini Dar akijidai na mai waifu wake Violet Shija Watosha ambaye ni mwanafunzi wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Dar. Wadau walimeremeta hivi karibuni katika Kanisa la Azania Front Lutheran jijini Dar na kufuatiwa na mnuso wa nguvu ukumbi wa City Garden Restaurant gerezani. Globu ya Jamii inawatakia kila jema katika ndoa yenu na mbarikiwe kuwa na familia yenye furaha iliyojazwa watoto pia.
Home
Unlabelled
george na violet wameremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Michuzi lazima niseme ukweli...mimi simjui huyo bibi harusi lakini anaonyesha katulia kweli..yaani..she was really a marriage material..hongera kaka...mtunze huyo mtoto tafadhali..Lol...!!
ReplyDeleteMdau-USA
mmependeza sana, nawatakia kheri na baraka na maisha bora hongera mtoto wa kisukuma
ReplyDeleteYaani hongereni sana na mmependezaaaa sanaaa, kweli binti anaonekana ametulia sana, binti endelea kutulia na Mungu akusaidie katika maisha yako ya ndoa.Of course hata bwana harusi uko poa sana uko juu, unaonekana umefika na umetulia.
ReplyDeleteMmependeza sana, sana nawatakia masiha mema ya ndoa
kiporo kinapashwa moto au??! mh
ReplyDeleteHongereni maharusi Mungu awape kila la kheri...Halafu hilo li mtu gani sijui anonymous ushuzi Wed Dec 23, 09:42:00 AM linaonekana lilimmendea one of them likakosa ndo linakuja na macomment ya kiwivu wivu haters mna tabu sana.
ReplyDeleteMmependeza sana hongereni, ingawaje ulininyima mnuso! washirika wa OLd MOshi wengi wamenilalamikia eti umewatia kapuni! HONGERENI TENA SANA.
ReplyDeletehongereni saaana bibi arusi umependeza saana bila ya makorokoro mrembo wa asili hongera zako kwa kupata mume nyie mnaolalamika mmetoswa mngetoa mchango poleni wee mkono mtupu haulambwi hongereni saaaana maaarusi
ReplyDeletehongereni sana vijana,mie mwenyewe nimeoa kitabu muda mrefu sana sasa nahitaji mke wa kunipa pumziko la moyo na kushirikiana ktk taabu na raha.
ReplyDeletemungu awabariki,ndoa ni sehemu nyeti sana na takatifu,muitunze kwa uadilifu wote mtapata maisha mema yenye baraka na stable &successiful family yenye furaha kuanzia wazazi hadi watoto. nami nikimaliza ngwe hii ya shule nitarudi nyumbani kuja kutafuta mchumba na kuoa.
mmependeza sana, Mungu akawajalie kupendeza huko kuwe pia kati yenu, kifo ndio kikawatenganishe, Mungu awabariki sana katika maisha mapya mlioyaanza.
ReplyDeleteDu mmetoka chicha kinomi,yaani mpendeza kweli na sherehe yenu iliukwa very unique niliikubari.
ReplyDeleteMungu asiwapungukie chochote katika maisha yenu ya ndoa na kila mnaloanza anzeni na bwana yesu.
By E.samoja
mkeo wa kwanza yuko wapi ?
ReplyDelete