Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Batilda Burian akiongea na waandishi wa Habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es salaam kuhusu masuala mbalimbali yaliyojili katika mkutano wa mabadiliko ya tabia nchi uliomalizika tarehe 18,Desemba 2009 mjini Copenhagen, Denmark. Mkutano huo pamoja na mambo mengine ulizitaka nchi zilizoendelea kupunguza uzalishaji wa gesi joto angalau kwa asilimia 40 chini ya viwango vilivyokuwa vikizalishwa mwaka 1990.

MAVAZI YA MHESHIMIWA YANAONGEZA JOTO NA CO2 HAPO DARA
ReplyDeletehivi huyu mama huwa hana masikio?
ReplyDeletenyokoinyo
Hivi huyu mdada Udoctor wake ni wa Phd au Sindano?
ReplyDeleteVikwanguaanga vinaongeza umasikini tanzania: Umeme unahitajiwa saaaaaaana kwa maji, mwanga, vinyonyosi, lifts na kadhalika.
ReplyDeleteKwa nini wasijenge vyenye kutumia umeme wa jua au upepo?
Genda
Udkatari wake ni wa Ph.D amesomea tamaduni za Kiarabu na kupewa Udaktari Chuo Kimoja huko Iran: Hivyo unavyoona vazi lake ni matunda ya usomi wake huko Iran
ReplyDeleteNyie wapuuzi huyu dada ni kati wasomi bora duniani.acheni chuki zenu za kijinga.
ReplyDelete