Home
Unlabelled
globu ya jamii xclusive: jumba la gavana wetu wa benki kuu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankal, naona mafisadi wameanza kukutumia sasa
ReplyDeleteUKARABATI WA SH. BILIONI MMOJA,WOW!SHILINGI BILIONI MMOJA NI KAMA US $770,000.NAISHI MAREKANI CALIFORNIA SEHEMU AMBAKO PROPERTIES ARE BELIEVED TO BE SO EXPENSIVE BUT KWA HELA HIYO UNANUNUA A BRAND NEW HOUSE WITH 5 BEDROOMS/5 OR 4.5 BARTHROOMS.KWA MAANA HIYO NYUMBA NI GHALI TZ KULIKO CALIFORNIA KWANI KWA PESA HII TZ NI UKARABATI TU.NAONA KODI ZA WATANZANIA ZINAKUWA ABUSED TO THE EXTENT THAT WILL MAKE SOMEONE WITH A SOUND MIND SICK TO THEIR STOMACH.KILA LA KHERI WADANGANYIKA
ReplyDeletekweli ni tambarale kwa bln 1 ni shule ngapi zingekua na madawati? kaka michuzi nina machungu ungetoa hii habari hapo vinginevyo itakua aliye juu mfuate juu.
ReplyDeletemwenye nchi. halafu nina machungu!? BABA WA TAIFA NYERERE UKO WAPI? KWANINI MZIMU WAKO USIWASHUKIE HAWA,
There are things money can't buy. Renovating that house Tshs. 1bn/= TRUST - Priceless...
ReplyDeleteMzee Michuzi, mambo kama haya yanatokea Tanzania tu, hakuna kwingine duania mkuu, kusema ukweli hapa nilipo nalia huku naandika kuhusu kodi yangu mkuu.
ReplyDeleteKusema ukweli nakwatwa PAYE nyingi sana halafu yanayofanyika ni UPUUZI KAMA HUU.
MUDA SI MREFU TUTASHIKIANA ............ TUMECHOKA.
hiviii?...
ReplyDeletesamahani ankal, nimesahau sijui nlitaka niandike nini.
kwaheri tu.
Gharama yake ktk paundi sterling ni kama paundi 700,000 za Kiingereza (Ths Bilioni 1.7 za kitanzania) . Hii ni value for money spent, hakuna cha kushangaa maana hata jijini London huwezi pata jumba ka hilo maeneo ya Kensington, Hydepark, Sloane Square au Marble Arch kwa kina Tony Blair mstaafu au Lady Madona n.k bila kuwa na paundi sterling za Kiingereza milioni 4 na zaidi.
ReplyDeleteKwa kisai hicho cha paundi sterling 700,000 utaishia kupata flat ya vyumba viwili tu na ka-sitting room kaaadogo kabisa.
Labda umasikini wetu ndiyo maana paundi sterling 600,000 haionekani kuwa vijisenti. Tanzania inatakiwa tuanze kufikiria nchi yetu iwe na GDP ya angalau paundi bilioni 80 za Kiingereza tumzidi Abramovic mwenye utajiri wa paundi za kiingereza bilioni 52.
Tukipata mind-set za ukubwa wa uchumi kujilinganisha angalau na South Africa basi nchi yetu itapiga hatua, lakini ikiwa vigogo wananunuliwa kwa vijisenti au uchumi wetu tunajisifia kwa vijisenti basi tutaendelea kuwa masikini.
South Korea, Singapore, Taiwani waliachana na uchumi wa 'vijisenti' miaka ya 1970 na sasa uchumi wao ni mfano wa kuigwa na nchi za kiafrika kama Tanzania.
Mdau
Jijini London
HUKU NI KUTOKUWAJIBIKA. UKARABATI WA BILLION MOJA KWA NYUMBA WAKATI MKUU WA MKOA WA DAR ALITANGAZA KILA MWANAFUNZI ANATAKAYE CHAGULIWA KUINGIA KIDATO CHA KWANZA AJE NA DAWATI KISA ETI SERIKALI HAINA UWEZO.
ReplyDeleteHIVI HII NYUMBA IKIUNZWA NI WATU WANGAPI WATAJITOKEZA KULIPA ZAIDI YA BILION MOJA
ReplyDeleteHII NI KUITENDEA DHAMBI JAMII YA WATANZANIA WENGI AMBAO NI MASIKINI.
ReplyDeleteHIVI HAWA JAMAA HAWAJUI KUWA DUNIA NI MAPITO TU. HIVYO HAKUNA HAJA YA KUWA MLAFI. HUU NI ULAFI TU. DAUD BALALI YUKO WAPI BWANA BENO.
MJOMBA KWANI HUYU NI MEMBER WA CHAMA CHA MAFISADI AU VIPI??
ReplyDeleteKaka Michuzi! unajuwa mtu anayekutukana hakuchaguliii tusi,kuhusu ukarabati wa nyumba ya Gavana wa benki kuu kwa gharama hizo ni matusi makubwa kwa watanzania wote na sasa nimeamini ule usemi wa yule askofu wetu aliyesema nchi inatembea bila nguo kuwa ni kweli! Rais wetu yuko wapi kuwabana hawa mafisadi wakubwa! Yeye ndiye mwenye vyombo vyote wa kupambana na hao watu. na tusisahu kuwa hawa jamaa wa benki wana mpango wa kukopesha pesa za kujengea majumba,je kiasi gani cha pesa za walipa kodi kitatumika.
ReplyDeleteWatanzania tuamuke na tuanze kukemea vitendo kama hivi.
Wazalamo ukitoka tuu nje kidogo ya Dar utakuta wanateseka ile mbaya hata maji safi hawana. Hivi kwa nini mungu alitulaani kuwa anatupa viongozi wanaojali maslahi yao tuu na kutojali jamii inaishi je? Nimeandika yote hayo wakati machozi yakinitoka.
dah bro misupu,umeamua kumuanika fisadi nje nje kweuuupee..ahsante sana kama huwa anapitia kijiji hiki basi ujumbe wa wavuja jasho utamfikia.kuna watanzania zaidi ya mil 10 wanakula mlo mmoja kwa siku nini watoto wao kukosa shule.halafu jamaa anakarabati nyumba kwa bil moja! matusi ya nguoni hayo!!hakyanani nikikutana nae hadharani namvaa maungoni..kikwete ammulike huyu nae aonyeshe paysleep yake kama ina mishahara ya kutosha kukarabati hiyo nyumba..mwizi mkubwa huyoo..swali ni kwamba serikali ya jk haimuoni?
ReplyDeleteonly in Tanzania!
ReplyDeleteHata mie mkuu wa Ufisadi hapo nimeumia roho! IT MEANS KUNA MTU AMENIZIDI! WTF!
KAMA HII NYUMBA INGEKUWA NEW BUILT,FOR TSHS 1BIL TUNGESEMA HIO NI KUFURU,SASA RENOVATION FOR TSHS 1BIL PLEASE!!!!THATS DISRESPECT TO MILLIONS OF TANZANIANS INCLUDING ME WHO ARE STRUGGLING TO PUT FOOD ON OUR TABLES.....HOW COME THE BEST PRESIDENT SO FAR COULD ALLOWS THESE SCUMS!!!!IM SURE THIS CAN NOT BE DONE WITHOUT HIS KNOWLEDGE/APPROVAL....AT THE SAME TIME THE EPA SCANDAL IS STILL HOT..
ReplyDeleteHii Nchi Hii
ReplyDeleteBasi hili nalo litaisha hivihivi tu. Mimi Sioni Dhamira za DHATI za viongozi wetu kuendeleza nchi yetu, nadhani kuna haja sasa ya kubinafsisha Wizara na Idara za Serikali kwa Wawekezaji wa nje.
Si kwamba tumeshindwa kuendeleza Viwanda vyetu tu, sasa ni dhahiri na nchi imetushinda. Hatuna vipaumbele kabisa, ..na huwezi juwa pengine mwakani utaambiwa Gavana kauziwa hiyo nyumba kwa milioni 120.
Mbaya zaidi kama kweli ilitumika gharama hiyo, basi zaidi ya asilimia 75% ya hizo pesa zimeenda kununulia bidhaa za nje, hata rangi utaambiwa zimeagizwa toka Afrika Kusini.
Matukio kama haya yananifanya nizidi kuwadharau viongozi wetu.
TSHS. 1,000,000,000:00 JAMANI NYEE, KWA KWELI UMASIKINI UTAKUWEPO HADI KIZAZI SI HIKI HADI KIJACHO KIPOTEE NDO PENGINE VIONGOZI WA WAKATI HUO WATAJALI WATU WAO, JAMANI NENDENI RWANDA MUKAONE KAGAME ANAVYOJALI WATU WAKE, MIJI NI MISAFI HAKUNA RUSHWA, HAKUNA UFISADI HATA TONE, SASA KATOKA BILALI KAJA BILALI, NI UTAMADUNI AMBAO NI MGUMU KUOKOMESHA SISI WATANZANIA, UBUNAFSI HUMO NDANI YA DAMU YETU HATUJALI WENZETU, VYOMBO VYA UMMA VINATAKIWA KUFANYA MABADILIKO JAMANI. WATANZANIA EBU TULIJADILI HILI KWA KINI IKIWEZEKANA NA WABUNGE WALIULIZIE HILI KANI NI PESA ZETU WALIPA KODI!!!
ReplyDeleteNa hii ndio sababu Africa ni maskini na tutaendelea kuwa maskini! Bil 1 kama ni mradi wa nyumba za bei nafuu za mil 20, 20 zingejengwa nyumba 50 ambazo famili 50 za wachapa kazi wazalendo wa Kitanzania wangeweza kuishi maskini! Hivi watu kama hawa watakumbukwa kwa lipi jamani?
ReplyDeleteWenzetu hawaendelei kimiujiza!!!!!! Wanachapa kazi na wanawajibika na kuwajibisha! Washikaji si tuingie mtaani angala maandamano tu ya kupinga matumizi mabaya ya pesa za serikali.
DUH HAPO HATA MAWAZIRI WA UK WAKIONA WATATAKA KUHAMIA KWENYE SERIKALI YA TANZANIA, WASHACHOKA VIBANDA VYAO UK VIDOGO WALIJARIBU UFISADI SASA HIVI WANADAIWA WARUDISHE UK WABUNGE, TANZANIA RAHA HUAMBIWI RUDISHA UNAJENGA TU KWA KODI ZA WATU. HARAMBEEEEEEEEEE IRUDISHWE KABLA HATUJAUMIA MANAKE TUSHAUMIA TUNAZIDI KUUMIZWA. MIRAMBO.
ReplyDeleteJAMANI SI MUMUACHEEEEEEEE KATENGENEZA PESA KASOMA NYIE MNABAKI KUPIGA KELELE HAPA YEYE ANATENGENEZA. KIMARO.
ReplyDeleteAnko Michuzi tumbo la kuhara limenibana ghafla. Hizi takwimu za kukarabati nyumba kwa Billion moja gholofa mbili????? Hii imekaaje mbona nasikia kizunguzungu???? Si wangejenga hata kagorofa ka watu hata ishirini na tano pale manzese na kupunguza msongomano wa vichochoro??? Uhandisi gani wa bongo huu jamani tunaibiana kimachomacho? Japo kuwa siyo mwanasiasa kama akina Zitto kabwe hapana hii imezidi tena inatia kichefuchefu. Rais wetu Jk kila siku anazunguka kuomba misaada kwa ajili ya watanzania lkn viongozi wachache wanaitumia kwa manufaa yao. Nyumba ya gavana inapokarabatiwa si bodi ya benki kuu inakuwa inapitisha hayo matumizi, Ina maana waheshimiwa pamoja na kwenda shule wanashidwa kuwa waitia hasara serikari???? Maana huu ufanyikao ni uny'ang'anyi kwa mali za umma wa watanzania. Hii Benki kuu nadhani kua jinamizi amablo ukiingia huko lazima uapishwe kuwa mwizi ndiyo uanze kazi hii siyo bure. Watu hawaogopi hata kama kesi zingine za ufisadi hazijaisha mahakamani wao wanachota tuu???? AMA KWELI MAISHA YA BONGO MSWANOOO MWEEEEEE TAMBARARE!!!!!!!!!!!
ReplyDeletekikwete & PINDA vp?2010? jamani hiii sio sawa kabisa.
ReplyDeletendi maana aliruhusu BoT kuwa benki ya kukopoesha watu binafsi!
ReplyDeleteTanzania walifukuza wafanyakazi....wakajiongezea mishahara badala ya kupunguza mishahara na kuongeza watu kazini!
Mbunge wa Tanzania analipwa zaidi kuliko mbunge wa Ubelgiji!
My God!Mungu wangu! Aluu! Huo ukkarabati si dhamani ya nyumba mpya sijui ngapi,alfu watanzania wanakufa na njaa,ukosaji wa dawa, maji safi ya kunywa na elimu bora kisa ukosaji wa majengo,madawati na walimu na mishahara kwa walimu hao.Kweli ni haki kwa watanzania jinsi kodi zao zinavyotumika?
ReplyDeleteThe next generation walie tu, kwa sababu nina uhakika hatutawaachia chochote zaidi ya vumbi la umaskini.
ReplyDeleteHizo renovations za dola milioni moja katika nchi ambayo inashika namba nne kutoka mwisho kwa umaskini duniani zinamnufaisha nani?
Kweli safari yetu bado ndefu.
Angry Intro Said, mate you have got to learn to chill. I bet you moan about how this man could spent those money to refurbrish his bangalow like everybody alse. You went too far. You are too thrilled!!. Time will come Wadanganyika wataelewa ukweli. Hope it's not too late!!
ReplyDeleteMdau Nansio
Nyie watu mnaoishi marekani n.k. hivi mnajua mfuko mmoja wa cement unauzwa shilingi ngapi Bongo? Acheni blah blah.
ReplyDeleteDaaah 1/=Billion si mchezo , Tax za wananchi ndiyo zimeishia hapo kwenye ukarabati, atleast huku ugaibuni ukikatwa Tax hata barabara tunaziona au hata watoto wa shule wana-mabasi yao ya kuwapeleka shule....lakini bongo ah? Kalagabahooo dah hiyo sijawahi ona! Mdau- - Dallas , Texas
ReplyDeleteubepari-uchwara = ufisadi!
ReplyDeletekufuru. ukilalamika unaambiwa 'unataka gavana alale katika kibanda kama cha manzese?' mafisadi wanashindana katika kila kitu: umetumia pesa za walipakodi kiasi gani kukarabati nyumba? umevaa suti ya bei mbaya kutoka wapi? shirika lina mashangingi mangapi? harusi ya kuoza binti yangu haijawahi kutokea hapa duniani!nk zote hizi ni mind-set za ubepari-uchwara.
wakati huo huo juzi tumeonyehwa hapa hapa watoto wa shule ya msingi vingunguti wakiwa wamekaa sakafuni na wafugaji huko wilaya moja ya arusha wakigombania chakula cha msaada, nk.
kufuru!!
Afu na wewe anon Wed Dec 23, 11:27:00 PM acha ukuda, au ndo umetumwa? shukuru ni mtandaoni tu(
ReplyDeletehata kama mfuko ungeuzwa 50000, stil kwa renovation haiwezi fika 1 na sifuri tisa mbele(
But stil I believe, one day they gonna pay the price for all they've done:(:( usiibanie hii michuzi
Jamani mtu anayewasaidia kupangilia mfumo wenu wa kifedha kwenye kiinchi chenu uende vizuri na kuwa sambamba na uchumi wa dunia nzima,bado mnakishambulia kibanda chake mlitaka kiwe cha udongo ndio mfurahi.Waone vile.Mambo ya fikra za nyerere za kimaskini maskini na ufinyu na wivu wa maendeleo ndio hauwafikishi mbali,ila mnabaki hapo hapo mlipo.Kama wewe ni maskini basi unajua la kufanya,lakini sio eti mtu aache kujiendeleza eti kisa watu watamzania ni fisadi.Now akiamua kuwagawia watu sehemu ya alichonacho then its all good kama hataki basi na nyie mtafute vyenu.Si mlitaka kuwa huru ,which means uza chochote unachotaka au nunua chochote unachotaka sasa mnalalamika nini.Nendeni mkatengeneze chai mnunue na chapati mle mfunge midomo,life goes on.My advice to u all wenye wivu,be an innovator,a creator,sell,make profits enjoy na familia yako.Kwaheri.
ReplyDeleteMdau mhangaza wa kanazi
http://duniayetukubwa.blogspot.com/
NAKWAMBIA KUANZIA AWAMU YA PILI YA URAISI MPAKA YA MISHO WA DUNIA NI MAJAMBAZI. hukuna mwenye nafuu, mwlimu alikua anawaita MANYAN"GAU
ReplyDeletembagala watu walilipuliwa namabomu wengine walipoteza maisha,viungo nahata kuhalibikiwa kwa vitu vyathamani kama nyumba,magari,nk chaajabu hakunahatammoja aliyekarabatiwa au kupewamalipo ya aina yeyote ile!leo mtu anafanyiwa ukarabati 1bln?hivi ni tone ngapi za madawa tungewezakujaza mahospitalini?au wale wanaolala nje wangewezakujengewa japo Hall nawaowakapatakupumzika mbu wa mitaani,mi nazaniumefika wakati sasa watanzani kusimama nakudai haki zetu kwanjia yoyote ile.inabidi tuonyeshe chuki zetu pindi zinapotokea issue kama hizi ikiwezekana tufanye hata maandamano.nakama hali itazidikuwa hizi tuchukue sheria mkononi maana ndio wanavyotaka kwani itandelea hivi mpaka lini?
ReplyDeleteJamani haya mambo si yakucheka wala kufanyia utani!this is a big amount ever for renovation!!and all are tax payers money..daah inauma sana sana!
ReplyDeleteHiyo hela unanuna nyumaba mitaa ya kiposh chelsea mtaa mmoja na drogba!
clik hapa uone bei za flat..
http://www.zoopla.co.uk/house-prices/london/cheyne-place/ zaidi ya yote hapa uk Gordon brown alirudisha kiasi kidogo tu alichotumia kulipia usafi nyumba yake...daah inauma mno
mdau uk
acha kutuletea picha leta concrete evidence za hio Billion Moja
ReplyDeleteINA MAANA AKIJA GAVANA MWINGINE NAYE NYUMBA YAKE ITAKARABATIWA KWA BILIONI NYINGINE?
ReplyDeleteKWELI TANZANIA SHAMBA LA BIBI..!!
NETWORK ENGINEER (NE)
READING, UK.
WATANZANIA WENGI NI WAONGO NA SI WAAMINIFU PIA.WEWE MDAU UNAYESEMA KUWA UTAJIRI WA ABRAMOVICH NI GBP 56 BIL. UMEPATA WAPI HIYO FIGURE? KWA NYUMBA HIYO KUGHARIMU BILLION MOJA KWA MATENGENEZO NI WIZI WA MCHANA NA KWA VILE WATANZANIA WENGI HATUJUI HAKI ZETU AU HATUJUI KUPIGA KELELE TUTAWANUFAISHA WACHACHE KWA FAIDA YAO NA YA FAMILIA ZAO.TUMESHAIBIWA VYA KUTOSHA KILA KIONGOZI ISIPOKUWA NYERERE WOTE WALIKUWA WEZI NA WALA RUSHWA LAKINI KWA SABABU YA ELIMU ZETU DUNI NA UPOLE WETU TUNAIBIWA WATU WANAONA NI SAWA TU...LAKINI WANGEJUA KWAMBA HUO WIZI UNA EFFECTS KWA UCHUMI WA NCHI WANGELIA KWA UCHUNGU. TANGU UHURU LEO MIAKA 50 HATA BARABARA YA KUUNGANISHA NCHI HAZIPO MPAKA UPITIE JIRANI, KILA KITU KIPO OVYO OVYO TU KIKULIMA KULIMA TU.HATUJALI TUPO TUPO TU.RAIS KIKWETE MWENYEWE KAKIRI KUWA BAJETI YA SERIKALI YA 40% KILA MWAKA ZINAIBIWA NA VIONGOZI HUKO SERIKALINI JE HILO HALITHIBITISHI KUWAPO KWA RUSHWA NA MATUMIZI MABAYA YA PESA ZA UMMA? JE PESA HIZO ZOTE ZINAZOIBIWA NA WAJANJA HUKO SERIKALINI NA KWENYE MASHIRIKA YA UMMA ZINGEPELEKWA KWENYE UJENZI WA BARABARA NA KUPELEKA HUDUMA ZA MAJI NCHI ISINGEKUWA MBALI? WATANZANIA TUKATAE RUSHWA NA TUWE WAKALI TUTAFIKA MBALI SANA KIMAENDELEO LAKINI WANANCHI TUKIWA NA MAWAZO YA KIBANGI BANGI NA KILEVI LEVI TUTABAKIA HAPO TULIPO SIKU ZOTE.
ReplyDeleteJamani nyie mnaomlaumu Gavana wa Bank ni kumwonea tu. Yaani mimi nakumbuka wakati tunakaa nyumba ya serikali mzee alihamishwa kwenye cheo kingine ikabidi tuingie kwenye nyumba ingine. Yaani matengenezo tu ilikuwa kama Tsh Million 60 hivi. Mzee alikuja juu sana lakini hakuna kitu ni watu wa Administration ndio wanaopiga panga wanaongezea vijisenti humo humo ili ikizidi ni yao. Mtu anayefanyiwa ukarabati hapati hata senti moja kwa hiyo msimulaumu Gavana buree. Nendeni pale BOT muulizie kwenye Administration dept. Yule Director si ndio ana kesi sasa hivi?
ReplyDeleteBahati mbaya kaujamaa bado kapo damuni mwetu ndio maana tunatoa machozi kuhusu gharama kama hio kurekebisha nyumba ya Gavana wa Benki Kuu. Tunalia sana kwa kupoteza vijisenti wakati dunia tunayoikimbilia na kujilingalinisha nayo kila siku hivi ni vitu vidogo.
ReplyDeleteAmueni kimoja..twende mbele na tuvikubali hizi gharama kama part and parcel of free market enterprise where Tanzania are new entrants au turudi nyuma kwenye ujamaa wetu maana hapo gharama kama hii kweli ni ya kufokea.
You cant have it both ways. Chagua moja then ZIP it up.
Nayeweza kuinyoosha nchi hii ni mtu mmoja-US Blogger.
ReplyDeleteMchumi mwandamizi.
safi sana gavana ninyi ndio wenye hati milki ni tanzania na mnajua kuitumia nchi wengine wakipewa t shirt na vitenge na vilemba vya ccm wanashangilia
ReplyDeleteSIRUDI BONGO NG'O.. HATA NIKIRUDI KUGOMBEA URAIS ETI NITAKUFA GHAFLA...THUBUTU
ReplyDeleteMimi naomba sana nimjibu mdau wa London anayesema watanzania tunaogopa hela kubwa kubwa ndo maana tuko nyuma.
ReplyDeleteMimi nafikiri u need to think before u open ur mouth. Kwasababu vile ulivyoandika ni pumba kwa misingi ya kwamba kwanza unalinganisha viazi na njugu....pili kama umeenda shule basi hujaelimika. U think spending big money on something will implicate development not knowing the what will too much money do in the economy with zero production...
Eti Singapore, angalia hizo nchi zinazalisha nini na kulipa vipi kabla ya kubwabwaja
Mwandishi nadhani kungekuwa na evidence japo ndogo tu ingesaidia zaidi kutoa hoja sahihi.. Kwa jinsi nyumba inavyoonekana nje sawa ni nzuri lakini sidhani kama ukarabati(sio ujenzi) unaweza kuwa wa gharama hiyo (1,000,000,000), labda ingeonekana na ndani...huenda kuna vifaa vya nguvu.... Kuandika tu figure na picha ya nje ya nyumba haitoshi kuwa kama ushahidi maana kwa macho yangu hapo nje sioni kama panaweza kuwa evidence ya billion 1 kutumika kwa kweli.
ReplyDeleteJamani! jamani! Mbona mnaisakama sana hiyo billion 1. hebu niambieni Gavana wa Marekani au Uingereza nyumba anayoishi ni ya thamani gani? mlitaka Gavana wa Tanzania akaishi Manzese uwanja wa fisi?
ReplyDeleteTatizo lenu ni umasikini mlio nao wa kutokujua na kutokufahamu. Hiyo nyumba siyo ya Beno Ndulu binafsi. Ni nyumba ya Gavana wa BOT ambaye kwa sasa ni Beno Ndulu. Akija mwingine ataingia. Ukarabati huo umefanyika kufuatana na bajeti iliyopitishwa sasa mnalalamika na kushangaa nini. Hiyo Bilioni 1? Kama iko ndani ya bajeti iliyopitishwa so be it. A billion figure is just a relative figure. Kama huna waiona nyingi na kama unazo kama vile BOT it is just an expendable item. Of course ukilinganisha na nyumba yako binafsi ndiyo unahisi kuna ufisadi. Lakini haya majumba yote ya serikali ya mashirika ya umma yanajengwa through tendering process na wanapewa contaractors. Hapo ndipo gharama zinakuwa kubwa. Kwa sababu kuna Main Contractor, Consulting Engineer, Electrical Consultant, Quantity Surveyor na kadhalika. Wote hawa wanatakiwa kulipwa professional fees kufuatana na sheria ya nchi. Sasa ukayajumlisha haya pamoja na gharama za vifaa vya ujenzi utakuta hiyo bilioni moja na kajisenti tu. Kwa hiyo acheni ushabiki wa watu wasioenda shule.
ReplyDeleteNadhani wachangiaji wanakosa point. Ni vema kabla hujaanza kupiga kelele kwamba pesa ni nyingi ni vema mkaomba mchanganuo ili mpate hali halisi ilivyokuwa. Vinginevyo hakuna mwenye hoja yenye nguvu.
ReplyDeleteMichuzi asante kwa kutupa taarifa:
ReplyDelete1. Je hili ni jumba la Gavana wetu au jumba la serikali atakamoishi / anamoishi Gavana wetu?
2. Je hizo fedha zimetumika kukarabati au kukarafati jumba hilo. Maana wakati ukarabati unafanya matengenezo, ukarafati unaweza bomoa na kubadili muundo kabisa na kutoa kitu kipya.
3. Kama alivyouliza mdau mwingine, tujue pia samani na vifaa vyote vilivyo ndani ni vipi na vya aina gani maana kuna rafiki yangu juzi aliniambia kuwa amenunua 'akwariamu'- kitunza samaki cha ndani tu kwa thamani ya Ths. Millioni 7. Kisha tuonyeshe na uko uani kama kuwa bwawa n.k
4. Mwisho tukumbushe kidogo, ni nani kwa mujibu wa muundo wa BOT mwenye mamlaka ya kuhidhinisha matumizi kama haya ya ukarabati au ujenzi wa nyumba za watumishi wake ili kama kuna uwajibikaji basi ndiye tuanze naye.
Tafadhali hii isibinywe na pia tuwe tunajibiwa hapa ili blogu kuendelea kuwa ya maana katika kuelimishana.
Jamani naomba tusifungwe macho na vyombo vya habari,hivi hakuna sehemu nyingine wanapofuja hizi kodi zetu,huko kwenye barabara vipi,kwenye miradi ya kilimo,miradi ya Tasaf na mengi mengine,unajua tunaweza kukaa tunapiga kelele na hawa BoT kama vile kila kitu ndani ya nchi hii ni BoT,na kama anoy wa mwisho alivyosema kupata picha za nje ya jengo haitoshi kutuhumu mtu na je market price kwa sasa ikoje katika hili,na pia hizo nyumba za serikali kama hii kwani ikumbukwehii si nyumba yake huyo Gavana kama yeye zimejengwa au kukarabatiwa kwa kiasi gani kabla hatujaanza kulaumu maana unaweza kulaumu then baada ya kujua ukweli unabaki aah hatukujua,kwani ni kweli bilioni moja is sound much lakini tumewahi kuuliza kipande cha barabara ya rami kwa urefu wa kilomita moja ni kiasi gani kukijenga.Sitetei kama kuna ubadhilifu ila tusimame kwenye fairness maana huu wimbo wa BoT sasa is too much.
ReplyDeleteMichuzi naomba uitundike kwenye blog yako hii..
ReplyDeleteKuna jamaa mmoja toka huku Magharibi, aliamua kufanya Research yake kuhusiana na malipo/mishahara ya wafanyakazi wa Tanzania, na matumizi yao ya kawaida.
Bali alipofika Tanzania, kama kawaida alikwenda kwenye hizi taasisi na kuangalia ni mishahara gani wanapata hawa wafanyakazi. Vile vile alifanya mahojiano nao, kuhusiana na mapato na matumizi.
Bali kilichomchangaza NI MATUMIZI MAKUBWA KULIKO YALE MAPATO.
Baada ya mwanko akakamilisha thesis yake, basi serikali ikamwita na ikamuomba atoe findings zake, jibu alilowapa akawaambia nitaitolea Kenya, serikali ikamuuliza kwa nini, akasema nitakupeni jibu lenu next week.
Yule bwana, kinyemela nyemela akapakia ndege moja kwa moja mpaka Nairobi, akaitisha kikao na waandishi wa habari,
Na hili ndio jibu na Finding zake akasema "WATANZANIA WOTE WIZI"
By Mchangiaji
According to Forbes magazine, as of 11 March 2009, he had a net worth of US$8.5 billion, ranking him as the 51st richest person in the world.[2] Prior to the financial crisis, he was considered to be the second richest person living within the United Kingdom.[3] Early in 2009, The Times estimated that due to the global economic crisis he has lost £3 billion from his £11.7 billion wealth.[4],sasa we figure umeitoa wapI? na usifananishe uk na bongo kiuchumi na wewe unaesema watu wanalipwa kiproffesional hakuna kitu kama hicho ni ujaNjaujanja wa kuongeza figure anyway WIIIIIIIIIZI MTUPUUUUUUUUUU
ReplyDeleteWE MDAU WA LONDON UKO LONDON AU LONDDON YA MAHENGE NA UNA INTERNET KWEL HAPO LONDON MAANA UNATOA FIGURE ZA UONGO AU NI MMOJA WA WAPAMBE WA MAFISAD WE UNACHEZA NA 52BILL POUNDS?HUYO ABRAMOVICH WAKO (November 4th, 2009. abramovich lunch receipt Roman Abramovichs $52,000 Lunch Bill ... 51st wealthiest person, with a net worth of $8.5 billion dollars. ...HIYO NI US CONVERT KWENYE POUNDS)sasa hizo 45bills pounds kazitengeneza kwa mwezi au kachapisha? au mdau wa london ulichukulia hiyo BILL YA MSOSI ALIOLIPA?WE UKAJUA BILLIONS? jaman wizi bongo sijui utaisha lini
ReplyDelete....NA BADO.....!
ReplyDeleteMDAU...LOBOKO LOBII PAPAA
kila mbuzi hula kufuatana na urefu wa kamba yake. hilo najua kila mtu analitambua! wasiwasi wangu ni pale wanaposhindana kati ya yule mbuzi aliyefungwa kamba ziro distance kutoka kwenye mti na yule aliekata kamba!!!
ReplyDeleteNONDO
am sure imetumika more than Tsh; 1Billion... kwani wakati ukarabati uneendelea familia ilikaa wapi??? Humo humo ndani ya nyumba??? jibu ni hapana... kwa hiyo walikaa hotelini au walipangishiwa nyumba kwa muda... Je hizo gharama alilipa Gavana?? Jibu ni hapana...Jamani tutafika tunakokwenda????Kuna maswali ya kujibu baada ya maisha mzuri hapa duniani...rejea: maisha ya tajiri na Lazaro masikini kwenye Biblia!!!
ReplyDeleteSIKUJUA KAMA ITAKUWA HIVI.
ReplyDeleteILA TUTAFIKA TU.
= = =
Buffalo, (nyumba hapa ni chini ya shillingi billioni moja za kitanzania)
New York
Kwa umaskini wa Wawatanzania hii ni dhambi kubwa na nina uhakika hata shetani ameficha uso wake kwa aibu na mshangao iweje yeye aliyewafundisha uovu wanadamu wamemzidi kwa kutenda uovu. kwa wasomi wetu, hii ni aibu. Haiingii akilini kwa prof. mzima kuwafanya Watanzania majuha. Hakika haya hayatapita ifikie wakati tuwe na utu. Hivi Beno ni wa ngapi kwenye ukoo wako kama si familia wanateseka kwa kukosa hata lishe bora. ni kwa ufahari gani unaouona kuwa peponi na wakati umezungukwa na wenye dhiki. Yana mwisho na mwisho unakaribia hata kama wewe utakuwa umeiaga dunia, hili sekeseke unawaachia wanao. Akina Pinochet wako wapi. Ninayo mengi lakini naomba niishie hapa.
ReplyDeleteMimi nimemwelewa mdau wa jijini London.
ReplyDeleteWatanzania tunaona paudi 700,000 ni nyingi sana. Benki kubwa Tanzania ikipata faida ya mwaka ya paundi 700,000 wanapiga kelele nyingi wamefanya vizuri.
Waziri mzima anatekeleza Sera ya kilimo Kwanza kwa jembe la mkono, badala ya trekta, pia tutamsifia.
Hospitali za wilaya Temeke, Mwananyamala ikipigwa rangi na kugawiwa vyandarua tunajisifia kwa kelele nyingiii
Kwa nini tusifikirie mapinduzi ya kimaendeleo makubwa makubwa mfano Mbagala, Chuo Kikuu, Wazo Hill n.k kusiwepo hospitali kubwa kama ya Muhimbili national hospital.
Kiwanda cha jeshi Nyumbu kwanini kisizalishe makombora, mabehewa ya treni, matrekta n.k
Viwanda vya sementi vizalishe simenti kwa wingi serikali ijenge barabara za zege kuunganisha mikoa yote Tanzania. Tutumie makaa ya mawe, jua na upepo kuongeza nguvu za umeme, tuzalishe nguo wenyewe kutokana na pamba yetu wenyewe n.k
Tunatakiwa kufikiria mambo ya kuleta mapinduzi makubwa ya kiuchumi kama ilivyokuwa USA ya 1950, USSR ya 1950 na China na India za 1990.
Ndiyo inawezakana Tanzania ikawa na GDP kubwa kuliko kipato cha Benki ya HSBC(Hong Kong Shangai Banking Corporation)
Mdau
Mgodini Mchuchuma
Kweli masikini ni mwingi wa kutoa shukrani hata kama anaibiwa kiaina, soma dataz ya vijisenti.
ReplyDeleteAccording to the Tanzania Chamber of Minerals and Energy (TCME), all mining firms have paid the government USD255,526,893 in taxes in the past ten years, that is USD 25,500,000 annually.
Tanzania's GDP is estimated at USD10 billion, while the GDP per capita is USD280 and inequitable distribution of income and poverty are still prevalent.
With tax holiday and capital allowances given by the 1991 generous mining Act, the government has not realized much in corporate tax and royalties which are at a lower rate of 2.7 per cent of net revenue.
It is reported that despite these allowances the cumulative loss of the sector has been put at over 1trn/-. After recent negotiations with mining companies, some companies such as Barrick, have agreed to pay USD200,000 per year to three districts and the government is to get USD7 million annually paid to the Treasury.
The Ministry of Energy and Minerals says that the sector has been using over 40 per cent of its revenue in local purchases.
Tanzania, currently Africa's third largest producer of gold, claims a three per cent mining royalty for most minerals and five per cent for diamonds and gemstones.
source: ippmedia.com
We mdau wa LONDON wakati unaandika comment ulikuwa umevuta bangi au maisha yanakuzingua london nani kakwambia kwa pound 700,000 upati nyumba uingereza au unatufanya wote wajinga hatujawahi kukaa london tatizo lenu nyie watu mkienda ulaya mnaleta ujuaji sana kana kwamba mnajua kila kitu kumpe pumba tu halafu usilinganishe uchumi wa nchi nyingine na tanzania kama wewe unafikiri kurenovate nyumba kwa shillingi billioni moja ni ujanja basi utakuwa mpumbavu wakati nchi tajiri duniani wanajitahidi kupunguza gharama za matumizi tanzania ndo kwanza tunatoa pesa kwa vitu ambavyo havina maana. ukienda mahospitalini hakuna kitu watu vijijini wanahangaika achilia mbali umeme na maji kupata madawa hospitalini shida.nafikiri watu wengi mnakaa DAR tu nakupiga soga wakati pande zingine za tanzania watu wanaishi katika umaskini wa haajabu jamani maendeleo siyo DAR tu BASIC NEEDS bado ni ishu kwa mtanzania. SASA nikiona wapumbavu wanatetea kukarabati nyumba kwa bilioni moja ni sawa nafikiri si jambo la kufurahia inasikitisha sana kwa jinsi watanzania walivyo wabinafsi. BAADHI ya watu huku ulaya wanajinyima angalau kusaidia AFRICA unakuta wazee hawana chochote lakini watakwambia wanachanga pesa kusaidia africa matokeo yake unasikia story kama hizi za utumiaji mbaya wa pesa.NYERERE JAMANI RUDI
ReplyDeletewizi kwa watanzania limekuwa jambo la kawaida kama kenya na Nigeria. Ni ukarabati gani wa nyumba bongo una thamani zaidi ya dollar 850,000. kwa nza kabisa lazi tuelewe nani kapewa kandalasi, contractor, na ni vifaa gani vimenunuliwa na n vya aina gani. tumerudi kwenye enzi za mobutu kupata breakfast Paris on weekends.Lazima hawa viongozi wawajibishwe. huyu governor naye imekuaje akakubali kutia saini malipo kama hayo. please spend money wiselya and again stop buying expensive stuff to government officials. umaskini africa utaendelea iwapo viongozi wataendelea kuangalia matumbo yao.
ReplyDeleteWewe mdau unaelinganisha Gavana wa Marekani na wa Tz, jee huyo Gavana wa Marekani aliwahi kuja kuomba msaada wa kufadhiliwa bajeti yake ya matumizi ya mwaka?
ReplyDeleteSisi kila mwaka lazima tutembeze bakuli ndio tuweze kutimiza matumizi ya serikali kwa mwaka, kwa hivo ni halali hizo fedha zitumike sawasawa. Vile vile hiyo tendering process kila stage inakuwa na 10% ukipiga jumla unapata 90%
HAHAHAHAHAHAHAHA BONGO TAMBARARE...WAJINGA NDIO WALIWAO..JIPENI MOYO TU HAPO BONGO LAKINI MIMI BOX SILIWACHI..CHAI YA MAZIWA NA MAYAI KILA ASUBUHI..BOX LINALIPA.....HAKUNA MALARIA WALA VUMBI...BOX LINALIPAAA...HAKUNA KUHONGA DAKTARI..BOX LINALIPAAA...HAKUNA NGOMA KAMA BONGO...BOX LINALIPA...HAKUNA UNYANYASAJI WA POLISI...BOX LINALIPAAA..BARABARA ZA LAMI...BOX LINALIPA..HAKUNA MGAO WA UMEME....BOX LINALIPA..HAHAHAHAHA SIRUDI BONGO HATA MALAIKA WAKISHUKA...BYEBEYEEEEEEEEEEEEEE
ReplyDeleteWEWE MDAU WA LONDON UNAYESEMA JE GAVANA WA USA AU UK ANAISHI KWENYE NYUMBA ILIYOKARABATIWA KWA BEI GANI.NAOMBA UELEWE KUWA HAO MAGAVANA WANAISHI KWENYE NYUMBA ZAO AMBAZO WAMENUNUA KWA MORTAGE NA HAKUNA UTARATIBU WA KUPEWA NYUMBA ZA SERIKALI KAMA KWENYE NCHI MASKINI KAMA TANZANIA,HIVYO NYUMBA ZAO ZIKIHARIBIKA AU ZIKIHITAJI MATENGENEZO NI JUU YAO WENYEWE, SERIKALI HAINA HABARI YENYEWE INAKULIPA MSHAHARA TU.HIYO NDIYO MAANA WENZETU WAPO MBALI KWANZA WAKISIKIA KUNA WATU WANAREKEBISHIWA NYUMBA NA SERIKALI WATASHANGAA KAMA SI KUCHEKA. TANZANIA TUNATAKIWA TUISHI NA TUWE NA MATUMIZI YANAYOLINGANA NA UWEZO WETU SIYO KUJILINGANISHA LINGANISHA NA NCHI TAJIRI.
ReplyDeleteNCHI INANUKA RUSHWA.LAAAAAAAANA.sirudi
ReplyDeleteSASA NIMEAMINI UKWELI UNAUMA NAJUA MAONI MENGINE NI KWA FAIDA YAKO NI MIMI TENA NILIYETOA MAONI KUHUSU "VIOLATION OF PRIVACY" KAMA MPIGA PICHA NA MWANDISHI WA HABARI UNAELEWA MIPAKA YA KUTOA HABARI KATIKA PICHA, WEWE NI MCHONGANISHI KWA PICHA YA NYUMBA HII NA GHARAMA YAKE NI TOFAUTI KABISA MIMI NI MJENZI NA NINAFANYA SHUGHULI ZANGU USA KWA MAREKANI NYUMBA HIYO INAGHARIMU $MILIONI MOJA NA IKIJENGWA MPYA KUANZIA KWENYE FOUNDATION. KWA BONGO NI PUNGUFU YA HAPO TUKUBALI KWAMBA PESA UNAYOITAJA IMEJENGA NA NYUMBA NYINGINE KAMA HIYO ADDRESS HATUJUI. ILA NDUGU NINAKUONYA UTAJIINGIZA KWENYE CONFLIC OF INTEREST NA HAWA JAMAA NA ITAKULETEA MATATIZO BAADAE UWE MAKINI KWANI UMEMCHONGANISHA GAVANA NDULU ULIMWENGU MZIMA NA KIBAYA ZAIDI UMETOA MAELEZO KWAMBA HIYO NYUMBA IPO ENEO GANI KWA UGAIDI UNAOELENDELEA NI HATARI KWA USALAMA WAKE NA HUKUPASA KUIANIKA ADHARANI MAKAZI YA KIONGOZI MKUBWA WA NCHI! NI MIMI MDAU NILIOTOA MAONI KWENYE PICHA YA PROF. MARK KUHUSU KILIMO KWANZA THAT IS A BULL SHIT! EXCUSE ME FOR MY LANGUAGE. KILIMO CHA MIKONO WALA SIO MFANO WA KUIGWA NA WATANZANIA LABDA KAMA ANGEKUWA ANALIMA BUSTANI HAPO NINGEKUELEWA LAKINI KUTUAMBIA KWAMBA ANALIMA SHAMBA NA AMEAMKA ALFAJIRI NA MAPEMA KULIMA ARE YOU KIDDING ME BRO MITHUPU?
ReplyDeleteHEY BRO. I LOVE YOU AS MY BROTHER BUT SOMETIMES YOU PISS ME OFF" BUT I UNDERSTAND BROTHERS FIGHTS SOMETIMES, NINGEKUWA KARIBU NINGEKUTAFUTA TUONGEE LAKINI NIPO MBALI ILA I BELIEVE ONE DAY I WILL MEET YOU BECAUSE I ADMIRE YOUR GREAT JOB! THIS IS YOUR CHRISTMASS. I WISH YOU ALL THE BEST ON YOUR HOLIDAYS
NI MIMI MDAU WA DAMU WA BLOG YA JAMII. USA
Date::12/24/2009
ReplyDeleteGavana: Tumejenga nyumba mpya si ukarabati
Gavana wa Benki Kuu Tanzania (BoT), Benno Ndulu.
Na Ramadhan Semtawa
GAVANA wa Benki Kuu (BoT), Profesa Benno Ndulu amekiri benki hiyo kutumia zaidi ya Sh1 bilioni za walipa kodi kwa ajili ya kutengeneza makazi yake.
Prof Ndulu, ambaye alikuwa akitoa ufafanuzi wa habari iliyochapishwa na Mwananchi kuwa taasisi hiyo kuu ya fedha ilikarabati nyumba hiyo kwa Sh1.4 bilioni, alihusisha taarifa hizo za ubadhirifu huo wa fedha za walipa kodi na mtandao wa wafanyakazi wake ambao alisema una lengo la kumchafua.
Lakini Ndulu alisema pamoja na kutokuwepo na usahihi kwenye taarifa kwamba nyumba anayoishi ilikarabatiwa kwa kiasi hicho cha fedha, makazi anayoishi yalijengwa upya baada ya nyumba zilizokuwepo awali kubomolewa na akadokeza kuwa gharama zinaweza kuwa kubwa zaidi.
“Nyumba haijakarabatiwa, imejengwa from the ground (kutoka chini)... ni tofauti kukarabati na kujenga nyumba mpya huu ni upotoshaji wa wazi na kujaribu kuchafua mema,†alilalamika gavana huyo.
“Napenda taarifa sahihi ambazo hazipotoshi ukweli, kwa maana taarifa kama hizo zinaharibu kila kitu kizuri na kujengwa taswira mbaya kwa wananchi, kitu ambacho si sahihi.
“Pia si kweli kuhusu hizo gharama kwani hakuna tathmini kamili ambayo imekamilika hadi sasa.â€
Mwananchi iliripoti kuwa nyumba anayoishi sasa gavana huyo ilikarabatiwa kwa takriban Sh1.4 bilioni na kwamba zote zilikuwa kwenye mradi wa kukarabati nyumba za vigogo wanne wa BoT; ya Ndulu na manaibu wake watatu.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, nyumba nyingine ni pamoja na aliyokuwa akiishi gavana wa zamani, marehemu Daudi Balali ambayo Prof Ndulu alidaiwa kuikataa kwa kuwa haina bwawa la kuogelea.
“Nashangaa kuambiwa nimekataa kuhamia kwenye nyumba; kisa haina bwawa la kuogelea, huu ni upotoshaji. Kama ni kuogelea, mimi niliogelea hadi kwenye mito, sasa sijui hili linatoka wapi,†alihoji Profesa Ndulu.
“Kwanza hiyo nyumba wanayosema ilikuwa kwa ajili ya kuishi mimi nikaikataa kwa sababu haina bwawa la kuogelea, ni uongo kwani ile alikuwa akiishi marehemu Ballali na ilikarabatiwa kwa ajili ya (Naibu Gavana Juma) Reli... sasa sijui mimi nimeingiaje,†alihoji.
Akitoa ufafanuzi wa maeneo halisi ya nyumba hizo, Profesa Ndulu alisema makazi yake hayako karibu na katibu mkuu mstaafu wa CCM na kwamba anayeishi huko ni Naibu Gavana (Taasisi za Fedha na Mabenki) Rila Mkila.
Alisema Naibu Gavana (Uchumi), Dk Enok Bukuku hajahamia kwenye nyumba yoyote ya BoT na kwamba anaishi kwake hadi sasa.
Prof Ndulu, ambaye taasisi yake imelalamikiwa kwa kujiidhinishia mamilioni ya fedha za mikopo yenye tofauti kubwa ya viwango baina ya wafanyakazi wa chini na vigogo, alilalamika kuwa taarifa za ufujaji wa fedha katika ukarabati wa nyumba hizo zinamuweka katika kundi la mafisadi na kwamba ni mkakati wa mtandao huo alioutuhumu kuwa unaundwa na watumishi wa BoT na baadhi ya watu walio nje.
Alidai kuwa miongoni mwa watu walio nje ambao wanaeneza sifa mbaya dhidi yake ni mwanasheria maarufu ambaye anadaiwa kutangaza vita naye baada ya kuzuia mianya ya ufisadi.
Gavana Ndulu, ambaye aliteuliwa baada ya Balali kuachishwa kazi, alisema kamwe hatasita kutekeleza majukumu yake kwa ajili ya kufurahisha au kuhofu watu wenye dhamira ovu.
“Najua, kuna watu wanafikiri watanitisha au kunikatisha tamaa. Nasema nitaendelea kushikilia uzi ule ule kusimamia sheria na taratibu katika kuongoza benki na si vinginevyo,†alisema.
Alilalamika kuwa kuna watu wanataka kuzorotesha juhudi za kujengea nidhamu ndani ya taasisi hiyo na kwamba kwa dhamira zao wanaweza kukaa na kupotosha mambo kwa makusudi.
Kuhusu tuhuma nyingine kwamba, viwanja hivyo vilinunuliwa, Ndulu alisema vyote vimekuwa mali ya BoT kwa muda mrefu na hakuna hata kimoja kilichonunuliwa karibuni.
PESA NDEFU HIYOOO.HAPO WAKATI WA MWALIMU VIBOKO TU 12-12 KWA WANAOKATA VIJISENTI VYAO.
ReplyDeleteMDAU WA 'BOX LINALIPA'KANIFURAHISHA...KWELI LINALIPA.SIRUDI NG'OOO!
jamani nyerere tunaomba urudi
ReplyDeleteMichuzi umejua kuwasha moto.
ReplyDeleteSasa wadau watagoma kukukaribisha kwenye mabangaloo yao.
(US Blogger)