The Kilimanjaro Band wana Njenje wakikupa "Kinyaunyau Kikia cha Pweza" wimbo ambao hauishi hamu kila upigwapo, kama zilivyo nyingi za wana njenje. Xmas hii na mkesha wa mwaka mpya Njenje watakuwa pale pale pa jana yaani Salender Bridge Club. Waziri na Babu Njenje wanasema karibu uduarike!!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. What does the singer mean by bending forward and waving to his ass during "kinyaunyau kikiacha pweza"? And what do responders mean by pointing their index fingers during "wataka mambo hamtayaweza"?Thanx in advance for any response.Merry x-mass and Happy new year.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...