Kikosi kizima cha Goba Ham United kabla ya gemu

Uncle Misupu pole na safari ya Moshi.

Sisi GOBA HAM UNITED ya Goba tunashiriki Kombe za Diwani Cup na Hussein Bunu wa JKT Ruvu ni mlezi wetu wa timu, tulikuwa tunaomba wadawa wasoka la Bonge waje Goba waangalie vipaji, wanaweza pata wacheza wa Baadae.

Mimi Joseph Mwaikambo wa Benson Informatics kama Mkurugenzi wa timu nakualika wewe na wadau wangine kwenye Mechi za diwani Cup. Ndoto yetu kuja kushiriki ligi kuu baada ya Miaka mitano ijayo.

Uncle misupu naambatanisha na Picha ya timu yetu, na leo tuna mechi saa kumi jioni Goba.

Aksante na karibuni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Namuona Bunu kwa mbali hapo, big-up kaka mwaikambo, umerudi toka uganda.
    Mdau,zain

    ReplyDelete
  2. teh teh nawasiliana na maximo aje aangalie vipaji hasa cha Bunu

    ReplyDelete
  3. Goba Ham united, west ham united, hivi nini maana ya Ham?

    ReplyDelete
  4. HAM:the top of the back leg of a pig,salted and dried......nafikiri ndugu zetu hawa wa Goba HAM united wanajua nini wanafanya na wako poa na timu yao ya nguruwe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...