IMEGOTA SAA SITA KAMILI NA GLOBU YA JAMII INAWATAKIA WADAU WOTE WA GLOBU YA JAMII HERI YA MWAKA MPYA WA 2010!
Home
Unlabelled
HERI YA MWAKA MPYA WADAU WOTE WA GLOBU YA JAMII
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
NAWEWE PIA MKUU
ReplyDeletemisupu na wewe pia
ReplyDeleteHAPA NAONA BADO SAA 3 BWANA MICHU.MZEE UNAPONGEZWA KWA KAZI NZIMA YA MWAKA ULIOPITA MZEE UNAFAA SANA.MPASHAJI WA MWAKA.HEBU WEKA MAMBO MUHIMU YA MWAKA UJAO.ILA NINGESHAURI TUWANG'OE MAFISADI WANATURUDISHA NYUMA.
ReplyDeleteMzee Michuzi kwanza nakupa hongera kwa kuvuka mwaka 2009 na kuingia salama mwaka 2010. Pili, kukupa hongera kwa kazi nzuri ya kutupasha mambo mbalimbali kuanzia ya nyumbani sisi tuliombali. Kwa kweli tunafarijika sana pale tunaposoma mambo ya nyumbani na kujiona kama tupo nanyi siku zote.Naomba Mungu aendelee kukupa afya njema na uendelee kutupa habari za kila siku na kwa wakati. Tatu kuwapa pole watanzania wote popote pale walipo kwa kifo cha Mwanamapinduzi mzee wetu RASHID MFAUME KAWAWA. Kila mtanzania bila kujali itikadi za kisiasa dini ama ukabila tujumuike pamoja kumlilia mzee wetu. Bila wazee hawa tusingekuwa hapa tulipo. Wao ndio walioweka misingi ya mwanzo kabisa ya nchi yetu na wengine wakafuata na kupata pa kuanzia. Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu MZEE RASHId MFAUME KAWAWA. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
ReplyDeleteinshalah tumeuona hata sisi huku russia,japo serikali yetu tukufu imetufanya tunauona huku tunapiga miayo kwa kuto tutumia fesa ya kujikimu hadi leo hii.
ReplyDeletetuombeane uzima na mema katika mwaka huu wa 2010 na nia njema kwa kuuheshimu ubinadamu wetu.
viva 2010.MOTO:"WE CAN IF WE WANT TO" "UNLESS I DO CHANGE FIRST NO CHANGES WILL COME FROM NOWHERE"
wajina ankal tunashukuru sana kwa salamu zako za mwaka mpya sisi bado huku masaa 2 ndio tuuone mwaka kazi ipo ila tutafika kwa uwezo wa Mungu pia poleni sana kwa msiba wa mzee wetu Kawawa mola amuweke mahala pema peponi. Jamii blog kioo cha jamii na unatufaa sana tulio mbali na nyumbani news on time tunajisikia kama tupo nyumbani endeleza libeneke kwa mafanikio zaidi mwaka 2010 cheers! chef Issa.
ReplyDeleteHAPPY NEW YEAR TO YOU TOO ANKIIIII MICHUUUUUU.... WE LOVE YOU.
ReplyDeleteSie wengine bado kidoogo, kama dakika 35 hivi, then ni full shangwe! 23:35 huku. Tuko Count Down.
ReplyDeleteNAWE PIA, SISI NDO TUMEUONA SASA MASAA MENGI NYUMA YENU, TUNAKUTAKIA KILA LA KHERI NA MWAKA HUU WA 2010, NEW DECADE. SASA BWANA MZEE TUWEKA NEW YEAR RESOLUTION PAMOJA. NI KWAMBA DAIMA TUTASEMA KWELI KWA MAENDELEO YA JAMII YA WATANZANIA, KWA USAWA, KWA HAKI NA SHERIA. TUJALI WENZETU AMBAO HAWAKUJALIWA, TUTUMIE MALI YETU KWA MANUFAA YA SISI SOTE SI WACHECHE, TUFANYE KAZI KWA MISINGI YA USAWA NA HAKI SI KWA UOGA NA WIZI WA NAMNA MOJA AU NYINGINE KWA FAIDA YETU BINAFSI, NA TUJUWE KAMA TUMEAJILIWA NA UMMA NI WAJIBU WETU KUWASHUGHULIKIA WENZETU IPASAVYO KWA MAENDELEO YETU ZOTE SI YA WACHACHE NA DAIMA TUTUMIE BUSARA KATIKA MAAMUZI YA UMMA KWA FAIDA YETU SOTE, UNAPOFANYA KAZI KATIKA SEKTA YA UUMA TUJUWE TUMEAJIRIWA NA WATANZANIA WOTE NA FAIDA NI YETU SOTE. UKITUMWA JAMBO HALALI NA UMMA LITIMIZE KWA FAIDA YETU SOTE. NA KWA WAANDISHI WA HABARI TUACHE UOGA TUFANYE KAZI KWA MISINGI YA HAKI NA MAADILI YA KIANDISHI, UKITUMWA NA WANANCHI TUWAKILISHIE MAONI YETU BLA WOGA HUWEZI KUSHITAKIWA JAMBO LA KUTUMWA UTASHITAKIWA JAMBA ULILOLIZUWA WEWE MWENYEWE NA LA UONGO KAMA NI LA KWELI HATA HIYO KESI UTASHINDA. MWISHO WANANCHI TUWE PAMOJA KUCHANGIA KWA HALI NA MALI MAENDELEO YETU, TUSIOGOPE KUSEMA UKWELI PALE PANAPOBIDI ILI KUELIMISHANA KWA FAIDA YETU NA VIONGOZI WA UMMA WAKUBALI KUKOSOLEWA KWA AJILI YA MAENDELEO YETU SOTE.
ReplyDeleteAnko mithupu nawe pia na japo huku tulisherehekea saa moja baada ya huko all the same tumeuona na ni jambo la kumshukuru mungu,hongera kwa kazi zako nzuri hasa ss tulio mbali na home tunapata habari on time,big up mjomba!all the best1
ReplyDeletebro mithupu you are a man of people happy new year 2010
ReplyDeleteNdugu Michuzi nawe pia tunakutakia kheri ya mwaka mpya. Sisi wa US pwani ya Atlantiki ndio tumebakiza saa moja na eshei kuuona mwaka mpya. Nyie huko bongo tayari mmeishatafuna masaa kadhaa katika 2010. nami pia niungane na wadau waliotangulia kukupongeza kwa kazi nzuri ya kutumegea vipande vya matukio ya nyumbani ambavyo baadhi huibua mijadala na hivyo kutupa nafasi ya kutoa maoni yetu au kuona mwelekeo wa kifikira wa jamii yetu.
ReplyDeleteMUUMBA AKUBARIKI
mlalahoi
Nashauri uboreshe kidoogo tovuti yako kwa kuandika muda kwa kiswahili na usichanganye na ung'eng'e. Nimeifungua sasa hivi ambayo ni saa 4.45. Wewe umeandika saa 10.45. Ambayo ni saa kumi na dakika 45. Ni hilo tu bro
ReplyDelete