Home
Unlabelled
ibada ya xmas katika kanisa la mtakatifu joseph leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kwa nini anaende Bukoba? Na Mzee Timanywa yuko wapi?
ReplyDeleteBaba Askofu Kilaini asante kwa mafundisho kwa muda wote ambao ulikwa Dar Es salaam. Miaka hii yote karibu tisa tumegundua kuwa ulikuwa wa pekee "sui generis". Wengi tulijifunza kwa ufasaha mambo mengi ya Kanisa na Dini, pia ulitoa chngamoto katika uwanja wa siasa zenye machimbuko halisi. Kweli hapa Dar Es salaam simanzi na kihoro kimetanda katika mioyo ya waamini na mapadre, watawa juu ya uhamisho! Basi pengine ndiyo utume katka kanisa ulivyo- Lakini kama ni Mkono wa mtu kama ilivyokuwa kwa Yohana Mbatizaji na kama Manabii wengi walivyotendewa, basi sisi tumeanza kufunga na kukesha kwenye sala tufahamu kuwa wote watakauka kama majani tu. Daima Nia njema na kazi ya Roho mtakatifu itashinda. Mwenyezi Mungu akujaze rehema zake uzidi kufundisha kweli za Kanisa bila kukata tamaa, Dar already missing you big time.....tunalia sote, Wakristu, waislamu na wote wapenda ukweli.
ReplyDeleteJamani mimi niko Uk leo sijaona wazungu wakienda kanisani.wote wako ndani tu.hii ni X mas yangu ya kwanza huku nimshtushwa sana.hawa ndio waliotuletea ukristu Africa kwanini wao hawafuati.
ReplyDelete