Askofu Msaidizi wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Methodius Kilaini, ambaye anahamishiwa Bukoba, akitoa baraka kwa waumini wa kanisa la Mtakatifu Joseph wakati wa ibada ya Krismasi iliyofanyika leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. kwa nini anaende Bukoba? Na Mzee Timanywa yuko wapi?

    ReplyDelete
  2. Baba Askofu Kilaini asante kwa mafundisho kwa muda wote ambao ulikwa Dar Es salaam. Miaka hii yote karibu tisa tumegundua kuwa ulikuwa wa pekee "sui generis". Wengi tulijifunza kwa ufasaha mambo mengi ya Kanisa na Dini, pia ulitoa chngamoto katika uwanja wa siasa zenye machimbuko halisi. Kweli hapa Dar Es salaam simanzi na kihoro kimetanda katika mioyo ya waamini na mapadre, watawa juu ya uhamisho! Basi pengine ndiyo utume katka kanisa ulivyo- Lakini kama ni Mkono wa mtu kama ilivyokuwa kwa Yohana Mbatizaji na kama Manabii wengi walivyotendewa, basi sisi tumeanza kufunga na kukesha kwenye sala tufahamu kuwa wote watakauka kama majani tu. Daima Nia njema na kazi ya Roho mtakatifu itashinda. Mwenyezi Mungu akujaze rehema zake uzidi kufundisha kweli za Kanisa bila kukata tamaa, Dar already missing you big time.....tunalia sote, Wakristu, waislamu na wote wapenda ukweli.

    ReplyDelete
  3. Jamani mimi niko Uk leo sijaona wazungu wakienda kanisani.wote wako ndani tu.hii ni X mas yangu ya kwanza huku nimshtushwa sana.hawa ndio waliotuletea ukristu Africa kwanini wao hawafuati.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...