Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwatunuku kamisheni maofisa wapya katika chuo cha kijeshi TMA cha Monduli mkoani Arusha Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkuu wa Chuo Cha Jeshi Monduli(Commandant) Vincent Mritaba wakiingia katika uwanja wa paredi chuoni hapo ambapo aliwatunuku kamisheni maofisa wapya wa jeshi waliohitimi mafunzo yao.

Maofisa wapya wa jeshi wakila kiapo cha utii kwa Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa hafla ya kuwatunuku kamisheni iliyofanyika katika chuo cha jeshi Monduli TMA leo asubuhi.
Rais akikagua gwaride la heshima


Maofisa wapya wa jeshi wakila kiapo cha utii kwa Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa hafla ya kuwatunuku kamisheni iliyofanyika katika chuo cha jeshi Monduli TMA leo

Ofisa kadeti wa kike Namso Dlamini Kutoka Swaziland(kulia) akimvisha nyota ofisa mwenzake Pascal Mageka kutoka Tanzania wakati wa hafla ya kuwatunuku kamisheni maofisa wapya wa jeshi iliyofanyika katika chuo cha kijeshi cha TMA Monduli mkoani Arusha.Dlamini alikuwa mmoja wa wanafunzi waliofanya vyema katika field wakati wa mafunzo(Photo by Freddy Maro)






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mzee vipi?mbona hatujaona matokeo ya mechi za leo Man United 0-3 fulham na janga lamaini 0-2 portsmouth,,Hongereni wazee wekundu kwakubamizwa bamizwa kama mtibwa.Fagason leo jojo za london amekomba zote nasikia kwa aibu tuu.

    ReplyDelete
  2. PETER NALITOLELADecember 20, 2009

    NYINYI WATU MSIONAGEONAGE HIVI HIVI.MNAONA RAIS ALIVYOPENDEZA, HUYU AMESOMA MZUMBE. MIMI NILIPOKULA NONDOZZ ILIONYESHWA MOJA KWA MOJA KWENYE LUNINGA ZOTE. WALIKUWEPO WATU MAALUFU KIBAO WOTE WALIKAA MBELE YANGU KWENYE MSAFARA WA KULA NONDOZ.. SECURITI ILIKUWA TAITI SANA. WATU WA MUZUMBE NDIO WANAWAKA DUNIANI SASA HIVI
    JK RAIS WA TANZANIA (MUZUMBE ALUMNI)LAIS HADI 2015
    JOHN MASHAKA(WOLSTRITI JINIAS)RAIS 2015
    ISSA MICHUZI (GLOBU YA JAMII)
    HASHEEM THABITI(AMESOMA NBA YA MUZUMBE)
    DR. HILDEBANDI SHAYO(MGUNDUZI WA NYUKLIA BOMB)
    JANUARY MAKAMBA( CHIF WA PROTOL IKULU)
    ERIC SHIGONGO (MKUU WA UDAKU NA UMBEYA)
    STEVENI KANUMBA (HOLLYWOOD STAR)
    MR. BRUE (ANAJUA KIINGELEZA SANA)

    HAWA WOTE NI MAA ALUMNI WA MUZUMBE CHUO KIKUU CHA UNIVESITI YA KULE MOLOGOLO NDIO MAANA NAWASHAURI MPELEKE WATOTO WENU KULE MUZUMBE NAO WATAKUWA MASTAA KAMA HAO HAPO JUU, MNANIONA NILIVYOTULIA, KICHWA KINACHAJI SANA

    ReplyDelete
  3. US-Blogger)

    Mr. President, being a graduate from OXFORD univerisyt, i do believe we have the same vission for the future. I am quite optimistic therefore, that we are going to be successful

    Since I have enough wealth I fit to be your Economics Minister because I'll be a good cutodian of our national resources. I'll make sure that all corrupt people are dalt with so that our defence forces can have all they need to protect the nation.

    Mr. President, I am sure you are going to be on watchout for people like the self proclaimned Messiah John Mashaka who is deceiving the country for his own good. He is trying to brain wash Tanzanians so that he can be come the president once you retire. He is currently trying to get a favor from you, and all he wants is to be aminister.

    Stay steadfast and ignore this opportunist who cares for nothing but his own motives, and power, he wants to grab from the wrong people. I am hopefully that you are going to pay me a close attention so that we can work togather. I was a genius from PhD dgree and the whole world knows it. I am now working with Robert Mugabe to develop his country destroyed by the west

    Yours Trully,

    Dr. US-Blogger
    Alumni,OXFORD University
    Economis Department

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...