Habari hii nimeisoma kutoka kwenye gazeti la The Sun nikaona ni vyema kuituma kwa jamii ya Watanzania na watu wote wanaotumia mitandao jamii kama vile Facebook, Twitter, Hi5, LinkedIn nk tuchukue tahadhari ya hali ya juu katika matumizi ya hii mitandao jamii.
Subiwww.wavuti.com

A TEENAGER has been knifed to death - allegedly by his best mate - after a bust-up over a message on Facebook.
Salum Kombo, 18, was stabbed repeatedly and staggered 400 yards before collapsing in a pool of blood.
He was said to have been attacked by the 15-year-old who held a grudge because he had shown "disrespect" in the posting on the social networking site.

For Source and more...

CLICK HERE



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Mwenyezi mungu ailaze mwili wa marehemu mahali Pema Inashaaallah peponi. MIE SIZANI NI UTUMIZI FACEBOOK NK, ILA NI KUANGALIA UTUMIAJI TU MZURI HII NI TABIA YA VIJANA LAZIMA TUNAOISHI NJE TUWALEE VIZURI KWA MILA ZETU. MILA NA UTAMADUNI WETU NA DINI NI VITU MUHIMU SANA HASA KWA VIJANA WA SIKU HIZI. POLENI WAFIWA WOTE TUPO PAMOJA NANYIE.

    ReplyDelete
  2. POLENI SANA WAFIWA NA KATIKA WAKATI HUU MGUMU, MWENYEZI MUNGU AMETOA NAE NDIO AMEMTWAA MJA WAKE.NIKWA KAMA MZAZI NA MKAZI WA UK NINGETOA USHAURI KWA SISI WAZAZI KUWA MAKINI NA VIJANA WETU HASA KUWAWEWKEA COMPUTER VYUMBANI MWAO,WENGI WAO WANA ABUSE MATUMIZI YAKE,VIJANA WETU WENGI WAMEJIINGIZA KWENYE GANGSTAR KUFUATA MKUMBO TUNAITAJI USHIRIKIANO WA HALI YA JUU KUTAFUTA NAMNA YA KUWAKOA WENGINE,MUNGU UIWEKE ROHO YAKE PEMA PEPONI POLENI SANA,

    ReplyDelete
  3. http://www.mirror.co.uk/news/top-stories/2009/12/22/stabbed-to-death-in-petty-row-on-face-book-115875-21915199/

    A teenager was knifed in the chest by a pal just hours after they argued online over a girl, it was claimed yesterday.

    ReplyDelete
  4. RIP young man. Inna lillah wa inna ilaihi raajiuun. My heart goes out to the bereaved family of the young boy who has just added to the statistics of inner London's knife culture. I think it is utterly wrong to blame it on social networking as such incidents have been occuring in inner cities - particularly London long before the advent of these sites. The motives behind London's knife culture - which is more prevalent among black ethnic minority youths - have baffled the Metropolitan Police for many years. Without sounding racist, my best bet is that the assailant may not have been of Tanzanian origin. again, RIP in Salum and may Allah grant patience to your family.

    ReplyDelete
  5. Poleni wafiwa.

    Hii technolojia mpya ya mawasiliano kutumia txtmsg,social netwowrking, blogs n.k watu huutumia vibaya.

    Hivyo sote tuepukane kujificha nyuma ya 'anonymous' ili tuwachafue watu kwa lugha isiyokuwa na ustaarabu.

    ReplyDelete
  6. Rest In Peace young blood.
    but the warning shouldn't be abt using those social networking.pretty much is on "how u use it".
    hata hapa wadau hutuma maoni yasiyo na ustaarabu just b'se hawajulikani.kumbuka,kuna some stupids just like that 15 YRS old kid(murderer).

    ReplyDelete
  7. THAT IS NOT ABOUT SOCIAL NETWORKING, NI TABIA ZA WATU HATA KAMA WANGEKUTANA BAR WANGEUWANA SO IS NOT FACEBOOK, HI5, TAGGED, NI TABIA YA VIAJANA HASA WADOGO WANAOIGA LIFE STYLE YA WESTERN COUNTRY WHERE THERE IS NO RESPECT FOR LIFE. WANDHANI WANAWEZA KUNUNUA UHAI DUKANI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...