Home
Unlabelled
kinukamori falls, marangu mtoni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ka michu angalia bwana hayo mambo ya kukumbatia sanamu hilo wifi asije kukutenda muulize mwenzio tiger woods yaliyomkuta tetete
ReplyDeleteafu vipi raisi wetu mwinyi mbona humweki tumuone manake ni watu ambao hatuwaoni sana humu hata mkapa hebu leta news zao manake hii ndio cnn yetu ya BONGO.
good job michuzi
afu mdau ni nini? manake naona unalisema sana hilo mdau, wadau na mpaka shati lako limeandikwa mdau hebu tueleze kwa kirefu..
ReplyDeletewadau, north america
mbony tsapho?
ReplyDeletejamnani mimi naitwa Anitha Lyimo, natokea marangu kilema mkyashi, sijawahi kujua kwetu kuna vitu vizuri hivi, kwakweli michuzi tunashukuru, umeniwezesha kulijua hili, and have to go tukienda kuhesabiwa xmas.
ReplyDeletevery interesting story michu nina asili ya kichanga lakini sijafika huko, decemba hii lazima niende
ReplyDeletewadau north america
ReplyDeleteMdau maana yake ni shabiki ndio maana michuzi amevaa mdau no 1, yaani shabiki numba moja wa globu ya jamii ni michuzi, no 2 mimi mashughuli halafu tatu jipe mwenyewe nimejaribu kumsaidia michuzi kwani najau yuko busy na kama nimekosea ruksa kunikosoa
Good Job Michuzi...
ReplyDeleteZidi kutupa vivutio vya Tanzania... Libeneke Aluta Continua...!
Mithupu is zis ur new fulanazzz??!
Kwa wewe unayeuliza mdau ni nini?Mimi nachukulia kama mteja wa kitu flani,,kwani udau wetu na michuzi ni kupitia hii blog yake tunayochangia kwa kuijenga na kuiimalisha mala kwa mala.Mdau mwingine atusaidie kidogo kwa hili.
ReplyDeleteThe Kinukamori cultural site is good for Chagga culture but seems the site is not well managed. The script board is spoiled by bird droppings and the leopard sculpture is deteriorating. Someone should make donation during Ximass visit for management
ReplyDeletehii picha ya mwisho imenshtua kwakweli,vp mr michu jicho ilo??
ReplyDeleteasante kwa fulanazzz la mdau #1
michuzi unapendelea sana kwa wakwe zako huko kila siku moshi na arusha mbona kilwa kwetu vipo hivi sijasikia ukienda sijui tumekukosea nini sisi na barabara siku hizi ni ka huko marangu na hai pls michuzi tunakumbo na sisi uende kwetu tumewachoka wachagga humu ndani ukabila mbaka kwenye blog
ReplyDeleteMichuzi hii sii mila ya kichaga bali ni mila za wa Marangu ,hakuna kitu collectively kinachoitwa wachagga. Wachagga wana mila mbali mbali na lugha zaidi ya thelathini , kwa hiyo hiko kitu hapo ni cha wamarangu
ReplyDeletembunge wa tegeta wananchi wako tunateseka na foleni za magari yatoka Bagamoyo mpaka mwenge?tumekuwa watu wa kuamuka usiku sana na kurudi usiku sana ili kukwepa folen.je umemshauri nini RAIS wetu kuusu barabara hiyo ili 2010 tuwarudishe madaraka nyote wawili?
ReplyDeleteTembelea na Tabora, Mbeya, Mtwara, Sumbawanga, Songea n.k
ReplyDeleteHaya jamani, hizo ndo mila za kiafrika tunazodai zidumishwe. Chifu akifa mpatieni kigori bikira azikwe naye (yaani machifu wenyewe wanajua kuwa kutahiri si dili kwenye mavitus).
ReplyDeleteHaya jamani tusifuate mila za kimagharibi wakati za kwetu tunazo.
Kazi nzuri sana Mithupu. Ila nina swali la kizushi wadau, kama huyo msichana alijirusha kwenye hayo maporomoko nani alitoa hiyo habari? Maana inaonekana ilikuwa ni msichana na chui, unless palikuwa na mtu mwingine aliyekuwa ana-osbserve huo mtanange.....anyone out there with an answer pls. Maana hii habari imekaa ki-mitego mitego sana.
ReplyDeletejamani mbona mdau wa mwisho una kawivu hivyoooo lol!basi kaka mithupi nendaga na kwao maana mh...! thanx kwa kuona mila za kwetu marangu!
ReplyDeleteHalafu hapo Kinukamori kuna story ambayo ni ya miaka mingi iliandikwa na Michuzi kwa nini usitumegee (niliona cutting ya hiyo story imebandikwa kaka Michuzi)
ReplyDeletekak michuzi vp mbona mkono mfukoni katika picha ya bint huyo wa kichaga
ReplyDeleteUkweli wa hiyo story ya binti wa kichaga kutaka kujirusha na hatimae kughairi na kutaka kurudi nyumbani na kukutana na chui amabae alimfanya arudi tena kujirusha kwenye maporomoko hayo na kufa ina utata kuliko hata habari ya babu Seya na wanae. Ina maana kuna mtu alikuwa akishuhudia hayo yote huko kwenye maporomoko na akaja baadae kueleza ilivyotokea au? Mimi siamini hiyo stori
ReplyDelete