Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
KP: It is so sad, in all honesty "This is the beginning and end of all African problems! Tanzania being in the forefront
ReplyDeleteUmimi uko kwa waafrika wote na nijambo ambalo linaturudisha nyuma sana haswa sisi wabongo. Kwanza kabisa ukiona mwenzako anaendelea unamponda, akisoma unahoji shule aliyosomea na vyeti vyake, akiendelea haiwezekani lazma kaiba na kumtafutia fitina nyiiingi ili arudi nyuma kama wewe. Kwa upande mwingine bado mtu anaona ufahari kuwaacha wenzie mbali akifanikiwa hataki mtu mwingine afanikiwe anataka anyenyekewe. Mwingine akijaribu ni vita kuanzia ushirikina hadi vyombo vya dola vilivyopinda. Wenzetu wahindi wanasaidiana wanakopeshana wana nyanyuana sawa sawa na waarabu, ukikuta wamefulia ni wachache sana na vile vile wanatoa misaada na zaka sisi tunafanya nini tunafurahia kuanguka kwa wenzetu na kuona ufahari kuiba na wengine kubakia maskini kama walivyo. Tangu nimezaliwa miaka 40 iliyopita hadi leo kuna sehemu umeme hakuna, wala maji ya bomba sehemu zilizokuwa nzuri badala ya kuwa nzuri zaidi ndio zinakuwa mbaya kabisa kama mashule hospitali n.k inabidi tuliombee taifa letu liondokane na sumu hii maana bila maombi na dua tutaendelea na laani hii bila matatizo yoyote, kama ni amani tumeshaiombea vyakutosha its high time tuombee tubadilike mitazamo ya kijinga ili tuweze na sisi kuendelea, ifikie wakati watu wanafanyakazi bila kuwaza 10% wala kukwamisha maendeleo kwakuwa hupati kitu kidogo
ReplyDeletekp umesahau ni UMIMI + UDINI + UKIMWI+UJINGA
ReplyDeletewith the exception of south Africa, Angola, Namibia, Botswana,
ReplyDelete