mpendwa mama yetu
DEBORA UDOBA
Toka ututoke leo umetimiza miaka 5

Unakumbukwa daima na mume wako kipenzi Ezell Udoba pamoja na watoto wako Ritha(Nyemo), Dinna, Lucy na Ruben na wapendwa wakwe zako Mahimbo na Mallod

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. RIP DEBO,
    Nilipokuwa likizo nyumbani (2005)somehow nilikuulizia kwa wadogo zangu, nilisikitika kuambiwa hukuwepo tena. Nikakumbuka mengi..enzi zetu...maisha ni mafupi.Tuko safarini ati tuonanae mtoni.....again RIP

    ReplyDelete
  2. Nyemo, sarah, tumain hos?poleni sana, mama RIP

    ReplyDelete
  3. Wema,Upendo na Ucheshi wako hatutavisahau kamwe....May you rest in the hands of our Lord Jesus Christ....AMEN

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...