Hayati Mama Salome Augustino Mgonja
ILIKUWA NI DAKIKA, SAA, SIKU NA LEO NI MIAKA 6 TANGU MAMA YETU MPENDWA SALOME AUGUSTINO MGONJA, ULIPOTUTOKA KATIKA HII DUNIA.
TULIKUPENDA SANA LAKINI MUNGU ALIKUPENDA ZAIDI, UNAKUMBUKWA NA MUMEO AUGUSTINO MGONJA, WATOTO WAKO SEIF, HUMPHREY, FREDY, ROSE,CHRISTINA, NEEMA, GLADY NA NDUGU,JAMAA NA MARAFIKI.

MAMA TUNAKUKUMBUKA SANA LAKINI TUNAJUA KIMWILI HAUPO NASI ILA KIROHO TUKO PAMOJA,NA SIKU MOJA TUTAONANA.

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA,
JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.
-AMIN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...